Hivi mmejaribu kuchukua kura ambazo kila mgombea amepata na kujaribu kuziweka into percentage with 2 decimal places?
Ukitumia kanuni za hesabu mtapata kilekile kilichotangazwa na IEBC.
Ila sasa ukishapata hizo figue huwezi kuanzia hizo percent kutafuta kura maana umezifanyia adjustment ili zibaki kwenye 2 decimal places.
Haya madai ya makamu mwenyekiti ni aibu kwa taifa lenu, mkiyale ataibuka mwingine na kuchukua percentage yake na kuzidisha na total vote alafu anapata kura nyingine ni robo au nusu na kuibuka kusema huu ni uongo hii kura nusu imepigwaje?
Tafuteni watu wa hesabu wafanye hizo hesabu upya kabla ya kutoka hadharani na kuonekana wapuuzi nyote