Wakenya mnakwama wapi? Profesa Kabudi sio Prime Minister (PM) wa Tanzania

Wakenya mnakwama wapi? Profesa Kabudi sio Prime Minister (PM) wa Tanzania

SACO

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
2,623
Reaction score
3,397
The Prime Minister of Tanzania is Kassim Majaliwa.

IMG-20191129-WA0038.jpeg
 
Fake news!

Aisee huyu P.Kabudi kawashika pabaya sana, kwa maana mnavyohangaika naye, mbona nafasi ni kubwa sana tu na Dunia ni kubwa hata ninyi mtashaini tu, mkiacha u snitch!
 
Labda yeye ndio kawapiga fix [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hah Hah 😅
WaKenya hawamjui ndiyo maana hapa JamiiForums kuna thread maalum ya story za Palamagamba Kabudi : gonga / click:
 
Na alivyo muongo muongo na mwenye kauli zisizoaminika huyu hachelewi kuwa kawapiga fix kuwa yeye ni PM
Labda yeye ndio kawapiga fix [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo huyo kabudi ni profesa na ukisikia MTU ni profesa tu ujue umekutana na mpuuzi ona hicho kiingishi anacho kiongea cha kujifunzia kwa ma MC wa mieleka au mabondia cha kuvuta maneno utadhani mc wa mabondia
 
Back
Top Bottom