Wakenya mnatuaibisha bana!!

Rockefeller

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
1,209
Reaction score
2,243
Ndugu majirani mnafeli wapi?? Mnaandika vitu gani hivi sasa, isitoshe mnatutaja na sisi wote tunaonekana wapumbavu, choka mbaya bin mlala hoi. Dah! kwa hiyo mumeamua kuwa omba omba tena kwa lazima.
 

Okoye ni jina la Nigeria.
Hio ni tabia ya Wanigeria.

Paul Okoye kwanza ni mwanamziki Nigeria. (P Square).

Sasa, wewe na upumbavu wako, utasema kwamba P Sqaure wanatapeli?
Tangu lini tapeli akapeana details zake za ukweli? Jina lake la ukwelil. Ama hata nchi yake ya ukweli?
 
Hizo ni DM za Paul Okoye wa P square kuna mkenya kamwandikia hivo.
 
We jamaa una kichwa kigumu kinoma
 
wanatia aibu huko USA wanaenda kututia tu aibu waafrica wenzao hamna cha maana wanachofanya zaidi ya ukahaba
 
This is nonsense mleta mada . Omba omba wa Tanzania ni wengi sana pia so take the big log off your eye 1st.
 
This is nonsense mleta mada . Omba omba wa Tanzania ni wengi sana pia so take the big log off your eye 1st.
Hakuna sehemu duniani isio na omba omba ila kuomba kwa style hio ni too much.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…