waKenya mnavyowaambia wabongo hawasikilizi nyimbo zenu huwa mnashirikisha ubongo wenu

Kama inachezwa mbona usiitoe kama mfano unatoa Ile ngoma iliyodharauliwa?

Maana yangu ni kwamba,kama unafanya vizuri utakubalika tu wala hakuna mchawi wa kutafuta.

Simply hao wengine hatuwajui sababu hawako serious,hakuna lele kwenye sanaa zaidi ya bidii,sasa wanatafuta huruma ya stations zao badala ya kiwekeza bidii,na nyinyi hutuaminisha mkenya ni mtu wa bidii.
 
Wanaijeria wapi wame support??
 
Hii ndo nyimbo bora ya Kenya kwa mwaka 2018. 😁

Sasa unashangaaje hawa watu ambao wameweza kushabikia Ngoma za kuku kapanda baskeli toka enzi kushabikia upupu wa lamba lolo! Hapa ndipo walipofikia hata wa mwisho darasani ana mchango wake katika kumfanya wa kwanza asifiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…