Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Aisee kama kuna kitu siwezi kufanya ni kuishi na Gaidi Next door!!
Sasa wakenya mnawezaje kuishi maeneo yanayopakana na somalia kama mandela na Garisa?
Usingizi unakujaje?
Hasa ukikumbuka shambulizi lile la garisa ndo silali kabisa?