Wakenya: Mwacheni Magufuli, aliyeshidwa na kulinda Kenya Ni Uhuru

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Nawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute maandishi ya Mwalimu nyerere "Non alignment" Movement. Mtajifunza mengi na muokoe mali na maisha inayo potelea somalia. Mkumbuke Tz ilipata pigo la ugaidi 1997 siku moja na ugaidi wa nairobi. Lakini Tz inavyo handle hizi issue ni tofauti sana na kenya. Na matunda ya sera zote mbili zipo wazi kwa kila mtu kuzitazama
 
Umeongea ukwel mkuu hii issue nashangaa jamaa wanamchukia rais wetu utadhan ye ndio kiongoz wa al shabab...waache ujinga na wa deal na adui yao al shabab

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute maandishi ya Mwalimu nyerere "Non alignment" Movement. Mtajifunza mengi na muokoe mali na maisha inayo potelea somalia. Mkumbuke Tz ilipata pigo la ugaidi 1997 siku moja na ugaidi wa nairobi. Lakini Tz inavyo handle hizi issue ni tofauti sana na kenya. Na matunda ya sera zote mbili zipo wazi kwa kila mtu kuzitazama
It was in 1998 and not 1997 ..
 
Tunamtaja Magufuli tu mnapo bring up the topic.

Mtu kama wewe bila akili ukiandika hapa ati ooh, Kenya imeshambuliwa kwa sababu ya Uhuru, anafaa amuige Magufuli.." blah blah blah.

Lazima tukukumbushe kwamba Magufuli ndiye dikteta na ghaidi namba moja Africa, na hana lolote la kuigwa.

Otherwise, hakuna Mkenya aliye na haja na kumtaja Magufuli kwa mambo yasiyo mhusu. Wewe na wenzako ndio mnafaa muanze kutumia akili, na kujua ni maswala gani ambayo hamfai kuleta jina la Magufuli.
 
una uhakika JPM hana namba ya UK? fikiria haya mambo yalikuwa yanafanyikaje kabla ya twitter mkuu
Tupo zama tofauti mkuu,hata kqa hili me naona sio ishu nlcomment hta kwa msigwa labda wamepitiwa ila pole hasa kwny mitandao ina akisi ujirani wetu,ss zama hzi akimtumia barua posta au akimpgia private call bila press release haina maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute maandishi ya Mwalimu nyerere "Non alignment" Movement. Mtajifunza mengi na muokoe mali na maisha inayo potelea somalia. Mkumbuke Tz ilipata pigo la ugaidi 1997 siku moja na ugaidi wa nairobi. Lakini Tz inavyo handle hizi issue ni tofauti sana na kenya. Na matunda ya sera zote mbili zipo wazi kwa kila mtu kuzitazama
The devil comes to destroy but he has never won & he will not start now
Najua kinachokuuma na kukufurahisha mkikuyu.Leo utafungua nyuzi nyingi sana lakini haidhuru. Kinachokufurahisha ni ugaidi uliotekelezwa jana na watu 14 kupoteza maisha yao but at the same time you're hurt because the terrorists didn't meet your expectations. Ulitarajia waue wakenya wengi kama lile shambulio LA chuo kikuu cha garissa
hongera kwawanajeshi kwa kufanya wima kuwanusuru wakenya 800+ .Glory be to God. God bless Kenya. Mungu awafariji wafiwa na wafu wapumzike kwa amani.
 
Ndio maana mmepigwa...afu wee jamaa ndio unafanya watz wakujibu vibaya waonekane hawajaguswa na msiba wa Jana..acha ujinga
Tunamtaja Magufuli tu mnapo bring up the topic.

Mtu kama wewe bila akili ukiandika hapa ati ooh, Kenya imeshambuliwa kwa sababu ya Uhuru, anafaa amuige Magufuli.." blah blah blah.

Lazima tukukumbushe kwamba Magufuli ni dikteta na ghaidi namba moja Africa, na hana lolote la kuigwa.

Otherwise, hakuna Mkenya aliye na haja na kumtaja Magufuli kwa mambo yasiyo mhusu. Wewe na wenzako ndio mnafaa muanze kutumia akili, na kujua ni maswala gani ambayo hamfai kuleta jina la Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mkenya yeyote ambaye amemlaumu rais Magufuli kwasababu ya shambulizi la jana la Alshabaab? Au ndio umepata fursa ya kuendeleza propaganda zako, na kumtusi rais U.Kenyatta, wakati wa msiba? [emoji15][emoji15][emoji15] Wewe hapo ndio umeanzisha uzi wa kinafik na matusi, ukajibiwa kwa matusi, ngoma droo. Kumbuka, wakenya huwa wanaomboleza pamoja na nyinyi kila wakati msiba unapotokea Tz na rambirambi za kihali na kimali pia huwa wanatuma.
 
Nawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute maandishi ya Mwalimu nyerere "Non alignment" Movement. Mtajifunza mengi na muokoe mali na maisha inayo potelea somalia. Mkumbuke Tz ilipata pigo la ugaidi 1997 siku moja na ugaidi wa nairobi. Lakini Tz inavyo handle hizi issue ni tofauti sana na kenya. Na matunda ya sera zote mbili zipo wazi kwa kila mtu kuzitazama
Nenda kawajibu kwenye huo uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo huyo Jiwe hajampa Mh.Uhuru Kenyatta "pole"wakati mwenzake Mh.Kenyatta alifanya hivyo wakati wa ajali ya MV Kambarage
Magufuli siyo Mtu wa show off, amesha tuma salam za rambi rambi, ndiyo mtu kama siyo wa kwanza kumpigia Uhuru Kenyatta simu kumpa pole......

Unapo msaidia mtu usitangaze ukitangaza ni sawa na hujafanya kitu, muwe mnasoma vitabu vitakatifu Biblia/Quraan imeelezea....
 
Kuna msemo "The buck stops with the president" Yaani kusema yote mema na maovu anayechukua jukumu ni Rais.
Mazazwa hapa hawataki kumkosoa Mwenyekiti wa kabila lao la kikuyu kwa uzembe na uteketevu wa kazi yake.
Kenya iko na njia ndefu sana kabla iwe politicaly mature
 
Nawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute maandishi ya Mwalimu nyerere "Non alignment" Movement. Mtajifunza mengi na muokoe mali na maisha inayo potelea somalia. Mkumbuke Tz ilipata pigo la ugaidi 1997 siku moja na ugaidi wa nairobi. Lakini Tz inavyo handle hizi issue ni tofauti sana na kenya. Na matunda ya sera zote mbili zipo wazi kwa kila mtu kuzitazama
Hivi huyu Magufuli ana roho gani chafu hivi. Mimi naona aibu kwa kusikia hata mpaka sasa hajatoa pole kwa ndugu zetu Wakenya waliopatwa na janga ili?
Uhuru kweli ni Rais wa watu maana kila tukipatwa janga uwa ni wa kwanza kutoa pole na wakati mwingine kutoa msaada. Huyu Rais wetu ana matatizo gani jamani niambieni. Wakati mwingine unaweza ukajikuta unaropa na kusema ni roho ya kichawi
 
Kuna msemo "The buck stops with the president" Yaani kusema yote mema na maovu anayechukua jukumu ni Rais.
Mazazwa hapa hawataki kumkosoa Mwenyekiti wa kabila lao la kikuyu kwa uzembe na uteketevu wa kazi yake.
Kenya iko na njia ndefu sana kabla iwe politicaly mature

I think some people enjoy complaining almost as much as they enjoy doing nothing about it...stop being a sissy
 
Back
Top Bottom