Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
It was in 1998 and not 1997 ..Nawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute maandishi ya Mwalimu nyerere "Non alignment" Movement. Mtajifunza mengi na muokoe mali na maisha inayo potelea somalia. Mkumbuke Tz ilipata pigo la ugaidi 1997 siku moja na ugaidi wa nairobi. Lakini Tz inavyo handle hizi issue ni tofauti sana na kenya. Na matunda ya sera zote mbili zipo wazi kwa kila mtu kuzitazama
una uhakika JPM hana namba ya UK? fikiria haya mambo yalikuwa yanafanyikaje kabla ya twitter mkuuTatizo huyo Jiwe hajampa Mh.Uhuru Kenyatta "pole"wakati mwenzake Mh.Kenyatta alifanya hivyo wakati wa ajali ya MV Kambarage
Nawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute maandishi ya Mwalimu nyerere "Non alignment" Movement. Mtajifunza mengi na muokoe mali na maisha inayo potelea somalia. Mkumbuke Tz ilipata pigo la ugaidi 1997 siku moja na ugaidi wa nairobi. Lakini Tz inavyo handle hizi issue ni tofauti sana na kenya. Na matunda ya sera zote mbili zipo wazi kwa kila mtu kuzitazama
Tupo zama tofauti mkuu,hata kqa hili me naona sio ishu nlcomment hta kwa msigwa labda wamepitiwa ila pole hasa kwny mitandao ina akisi ujirani wetu,ss zama hzi akimtumia barua posta au akimpgia private call bila press release haina maanauna uhakika JPM hana namba ya UK? fikiria haya mambo yalikuwa yanafanyikaje kabla ya twitter mkuu
The devil comes to destroy but he has never won & he will not start nowNawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute maandishi ya Mwalimu nyerere "Non alignment" Movement. Mtajifunza mengi na muokoe mali na maisha inayo potelea somalia. Mkumbuke Tz ilipata pigo la ugaidi 1997 siku moja na ugaidi wa nairobi. Lakini Tz inavyo handle hizi issue ni tofauti sana na kenya. Na matunda ya sera zote mbili zipo wazi kwa kila mtu kuzitazama
Tunamtaja Magufuli tu mnapo bring up the topic.
Mtu kama wewe bila akili ukiandika hapa ati ooh, Kenya imeshambuliwa kwa sababu ya Uhuru, anafaa amuige Magufuli.." blah blah blah.
Lazima tukukumbushe kwamba Magufuli ni dikteta na ghaidi namba moja Africa, na hana lolote la kuigwa.
Otherwise, hakuna Mkenya aliye na haja na kumtaja Magufuli kwa mambo yasiyo mhusu. Wewe na wenzako ndio mnafaa muanze kutumia akili, na kujua ni maswala gani ambayo hamfai kuleta jina la Magufuli.
Nenda kawajibu kwenye huo uzi.Nawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute maandishi ya Mwalimu nyerere "Non alignment" Movement. Mtajifunza mengi na muokoe mali na maisha inayo potelea somalia. Mkumbuke Tz ilipata pigo la ugaidi 1997 siku moja na ugaidi wa nairobi. Lakini Tz inavyo handle hizi issue ni tofauti sana na kenya. Na matunda ya sera zote mbili zipo wazi kwa kila mtu kuzitazama
Magufuli siyo Mtu wa show off, amesha tuma salam za rambi rambi, ndiyo mtu kama siyo wa kwanza kumpigia Uhuru Kenyatta simu kumpa pole......Tatizo huyo Jiwe hajampa Mh.Uhuru Kenyatta "pole"wakati mwenzake Mh.Kenyatta alifanya hivyo wakati wa ajali ya MV Kambarage
Anatafuta pa kutokea huyoo baada kuumbuka humu, hakuna mkenya anayemlaumu jiwe kwa lolote, taabu yetu twajua ni hawa wasomali waliojazana kila kona nchini!
Hivi huyu Magufuli ana roho gani chafu hivi. Mimi naona aibu kwa kusikia hata mpaka sasa hajatoa pole kwa ndugu zetu Wakenya waliopatwa na janga ili?Nawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute maandishi ya Mwalimu nyerere "Non alignment" Movement. Mtajifunza mengi na muokoe mali na maisha inayo potelea somalia. Mkumbuke Tz ilipata pigo la ugaidi 1997 siku moja na ugaidi wa nairobi. Lakini Tz inavyo handle hizi issue ni tofauti sana na kenya. Na matunda ya sera zote mbili zipo wazi kwa kila mtu kuzitazama
Kuna msemo "The buck stops with the president" Yaani kusema yote mema na maovu anayechukua jukumu ni Rais.
Mazazwa hapa hawataki kumkosoa Mwenyekiti wa kabila lao la kikuyu kwa uzembe na uteketevu wa kazi yake.
Kenya iko na njia ndefu sana kabla iwe politicaly mature