Papa Francis HAJAWAHI kukanyaga AFRIKA ndio mara yake ya kwanza. Obama alikuja TZ siku moja, Kenya alilala na akaamka!
Pope John Paul alipokuja Africa mara ya kwanza alikuja na Tanzania akalala siku tatu. Mandela alipotoka kifungoni nchi ya kwanza kuitembelea ni Tanzania na alilala siku 4 na alienda kulala mkoani Morogoro. Rais wa China nchi ya kwanza kutembekea ni Africa ni Tanzania. Ukiondoa America na Ulaya, haijawahi kutokea Rais wa USA na mtangulizi wake wakakutana katika bara lolote, but iliwezekana kwa Tanzania tu. Bill Clinton alipokuja Africa mara ya kwanza alikuja pia Tanzania. Mtaongea nini nyie wakenya?. Kati ya hao aliyekuja kwenu ni Obama akiwa madarakani tena amekuja tu. Sasa mpaka hapo mmetuzidi rekodi gani?. Obama mlimuuliza mwanamuziki gani Kenya unamjua na unapenda muziki wake, bila kusita akasema Diamond Platinumz!!!!. Kwahiyo kama kigezo ni kuja kwa mara ya kwanza basi hamtakiwi kuongea kitu.