Wakenya na lugha ya kiswahili


Umeshinda ukiturudiarudia hii ya wewe kuwa na "girlfriend mkenya", you are now ceasing to be credible!

Please!
 

Mkajifunze kutofautisha "thambi na dhambi" makosa zimejaa kwenye makomwe yenu makubwa na sura zenu mbayaa kama roho zenu.
 
Sura mbaya na Kiswahili inaingiliana aje?
wewe ndio ugly...fool
 
 
Hii yote yaletwa na usomi usomi mwingi tu, hata hapo bongo yapo tu haya jamaa anachanganya ndimi ilimradi aonekane yupo juu kisa amefika chuo kikuu, kwa kenya hili la kudharau kiswahili lipo kwa sana hasa nyanda za juu (bara) ni sababu kusoma sana kwao. Hapa kenya kuanzia chekechea lugha ni uzungu hadi chuoni jumatatu hadi alhamisi lugha ni kiingereza so isiwasumbue sana.
 
We jamaa kiswahili umejifunzia wapi? Mbona kimenyooka sana
 
Kijana....unataka kuamsha DUDE..!!
Subiri waje wenyewe..[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
We jamaa una vijembe sana
 
Bora wewe umekubali na kuelewa ukweli maana nimewasoma hapo juu jamaa wote wanapingana na hoja ya Barbarosa
 
Hili kabila litakuwa na uhusiano na ndama maana nda nda nyingii
 
Uni bora kujifunza kingereza kuliko kiswahili maaneka kiswahili ni lugha inazungumzwa maeneo machache sana duniani ukilingalinisha na kingireza .so uzungumze kiswahili sanifu au bofu haina tija yeyote kwako maanake hatokufikisha popote utashinda ukihangakia hapa east africa tu ndio maanake bongolalas wengi wamejaa humo hawatoki nje kutupiga vijembe humu.juzi katika uzinduzi wa sportpesa tanzania niliona maajabu mzungu anazungumza kingereza then mnatafusiriwa kwa kiswahili .bure kabisa nyie mjifunze kingereza ka si hivyo itakua ngori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…