leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
Mleta mada una damu tamu mpaka mbu wanakuja na vitafunio
Haahaaaa iyo ya pili nomaOkumu; venye baba ako alivokuwa mshamba nilimnunulia soda bar akaondoka na kisoda akidhani ni mbegu akapande shamban.
Omoki; vile we ni mbaya mpaka ukakataliwa kuect movie za kutisha