Wakina kamau[emoji23]Wakenya ndo zaooo mpakaa Ng'ombeee...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]
Huyu jamaa bado humjui tu!? Kuna mwingine anairwa BAK wamejiunga kwenye mtandao wa Kenya Talk. Kila kukicha kuibua mada za kichochezi kuhusu TZ bahati mbaya mtandao huo umejaa thread za kikabila, wanaishia kupata wachangiaji wawili au mmoja. Wakati mwingine ni yeye anajiuliza na kujijibu.Sasa kwanini ni kitendo common sana Kenya.
Unapendaga watetea. Jibu hilo swali kwa niaba yao sasa.
Kwanini inafanyika sana Kenya?
Dah, hawa jamaa ni primitive sana.[emoji27] [emoji27] View attachment 890185