Wakenya ni watu wa kustaajabisha sana

Maffada

New Member
Joined
Dec 6, 2019
Posts
1
Reaction score
1
Huwa nacheka pale Mkenya anapo mcheka Mtanzania kwa mambo madogo madogo lakini anashindwa kuelewa huyo unayemcheka ndie aliyetengeneza lugha ambayo sasa unaitumia.
 
Eti huu nao ni uzi. Jamii forum ya leo inasikitisha sana
 
Huwa nacheka pale Mkenya anapo mcheka Mtanzania kwa mambo madogo madogo lakini anashindwa kuelewa huyo unayemcheka ndie aliyetengeneza lugha ambayo sasa unaitumia.
Kwa utafiti niliofanya nimegundua wakenya wengi tupo sharp kuliko nyinyi watanzania.
 
Kwa utafiti niliofanya nimegundua wakenya wengi tupo sharp kuliko nyinyi watanzania.
Sharp wa kutapeli maana mna tabia za kishamba kama Nigerian,Dubai,Malaysia kote mna sifa mbaya kwa hiyo kwenu wizi ndio ujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…