GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Habarini ndugu zanguni!
Nimearifiwa kuwa katika nchi za Afrika Mashariki, ni Kenya ndiyo inayoongoza kwa kufanya vizuri kwenye kilimo cha DRAGON na KIWI.
Ninakusudia kujihusisha na kilimo cha mazao tajwa. Na, ninaamini, nikilitembelea shamba linakolimwa, naweza kupata ufahamu mpana zaidi utakaoniwezesha kufanya kilimo chenye tija.
Nimechagaua kupatembelea Kenya kwa kusudi hilo. Mnaweza kunielekeza kwa mkulima ambaye anaweza akawa mwenyeji wangu katika hiyo ziara?
Nitajigharamikia mahitaji yangu yote.
Asanteni.