Mtembelee kenya anaitwa Mhandisi Anthony KINOTI....huyo ni mkulima mkubwa saana wa dragon kenya na ana sell mbegu kwa bei poa na anasafirisha popote duniani
Mimi ni Mtanganyika nimeshafika shambani kwake mara mbili
na sasa hivi mimi ni miongoni mwa watanganyika wanaolima dragon kw akiwango cha biashara
Kila la Heri
Ukitaka number yake DM ntakupatia
View: https://www.youtube.com/watch?v=unYzk9qOStE