Wakenya nje ya nchi wazidi kuvunja rekodi ya utumaji wa hela nyumbani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ndio umuhmu wa kuwa na nguvu kazi iliyoelimika, hata wakitoka kwenda nje hawanedi kubeba mabox, wanafanya vitu vya kueleweka na kuishia kutuma hela za kweli nyumbani. Yaani kufikia Agosti wametuma 17.18 bilioni za Kenya (sio pesa madafu).

Dah! Mungu awabariki na kuendelea kuwapa nguvu. Uraia pacha umewezesha pakubwa, wanapewa uraia huko nje lakini uzalendo unabaki wa kwao nyumbani.
---------------------------------------------------------

Kenyans abroad have kept cash remittances healthy with money sent home growing 9.26 per cent in August this year compared with a month earlier.

Monthly data released by the Central Bank of Kenya (CBK) shows that diaspora remittances reached $166.4 million (about Sh17.18 billion) in August compared with $152.3 million (about Sh15.72 billion) in July this year.

Year on year, the August remittances grew 13.4 per cent from the $146.7 million (about Sh15.15 billion) reported in August last year.

Diaspora remittances, which have become a key support of the Kenya shilling that is under pressure due to low export earnings, stood at $154.8 million (about Sh15.99 billion) in June.

This is a drop on 4.1 per cent compared to the $161.5 million (about Sh16.7 billion) recorded in May this year.

Biggest earner

In April, the remittances stood at $138.6 million (about Sh14.31 billion), six per cent lower than the $147.5 million (about Sh15.23 billion) recorded in March this year.

Remittances have become the country’s biggest source of foreign exchange income, insulating the domestic economy from external shocks by ensuring the steady supply of dollars in the system.

Also, these cash transfers are a major driver for domestic consumption, hence contributing to strong economic growth.

According to a World Bank report, Kenya is among the highest recipients of remittances in Africa.

Remittances grow 9.26 per cent to Sh17 billion in August
 
Tuendelee kuwaombea tu hakuna namna kuna wengine wakenya wanateswa sana oman na kusukumwa maghorofani japo ni nguvu kazi hiyo wameyatoa sadaka maisha yao.
 
Ukatili wa hao Waarabu upo kwa watu wote hata Wahindi na Watanzania, nafikiri muhimu ni wanaoenda huko wahakikishe wanafuata taratibu zilizopo kama kusajiriwa kabisa na ubalozi.
 
PATRIOTISM!
Mungu anisamehe, ila JKN alifanya mambo makubwa sana hapa nchini, sina haja ya kuelezea juu ya mchakato husika, yes, hata kujiita Wa-Tz ni kwa sbb yake but, lipo jambo hapa linalohitaji udadavuzi! Nalo ni (question-wise): Ni kwa nini ni vigumu sana kwa Mtanzania kujivunia u-Tanzania wake kama Wakenya wanavyojivunia Ukenya wao?!!!!! This needs to be answered by GREAT THINKERS and not NORMAL Thinkers!
 
Ndio umuhmu wa kuwa na nguvu kazi iliyoelimika, hata wakitoka kwenda nje hawanedi kubeba mabox, wanafanya vitu vya kueleweka na kuishia kutuma hela za kweli nyumbani. Yaani kufikia Agosti wametuma 17.18 bilioni za Kenya (sio pesa madafu).

Dah! Mungu awabariki na kuendelea kuwapa nguvu. Uraia pacha umewezesha pakubwa, wanapewa uraia huko nje lakini uzalendo unabaki wa kwao nyumbani.
---------------------------------------------------------

Kenyans abroad have kept cash remittances healthy with money sent home growing 9.26 per cent in August this year compared with a month earlier.

Monthly data released by the Central Bank of Kenya (CBK) shows that diaspora remittances reached $166.4 million (about Sh17.18 billion) in August compared with $152.3 million (about Sh15.72 billion) in July this year.

Year on year, the August remittances grew 13.4 per cent from the $146.7 million (about Sh15.15 billion) reported in August last year.

Diaspora remittances, which have become a key support of the Kenya shilling that is under pressure due to low export earnings, stood at $154.8 million (about Sh15.99 billion) in June.

This is a drop on 4.1 per cent compared to the $161.5 million (about Sh16.7 billion) recorded in May this year.

Biggest earner

In April, the remittances stood at $138.6 million (about Sh14.31 billion), six per cent lower than the $147.5 million (about Sh15.23 billion) recorded in March this year.

Remittances have become the country’s biggest source of foreign exchange income, insulating the domestic economy from external shocks by ensuring the steady supply of dollars in the system.

Also, these cash transfers are a major driver for domestic consumption, hence contributing to strong economic growth.

According to a World Bank report, Kenya is among the highest recipients of remittances in Africa.

Remittances grow 9.26 per cent to Sh17 billion in August

Wanaingiza shimoni hizo hela, Uhuru Kenya na Raila wanaziunguza fedha zote kwenye chaguzi zisizoisha na Maandamano!
 
Wazee wa kuhemea mnakuja kufarijiana,
I didn't know if this is to be News.
Anyway, Hongereni.
 
Wazee wa kuhemea mnakuja kufarijiana,
I didn't know if this is to be News.
Anyway, Hongereni.

How is this not newsworth....
Hivi nyie mnao diaspora, na wakitoka huwa wana manufaa gani kwa nchi au wanaaishia kushangaa shangaa nchi za watu, kuna wale huwa naona wakijinadi humu eti 'USA baby'.
Wapeni uraia pacha muone watakavyo wajenga nyie mliodumaa humo.
 
Watu wanatuma pesa nyingi tu Mkuu ila idadi ya Watanzania nje si kubwa kama ya Wakenya na pia BoT hawana utaratibu mzuri wa kuripoti pesa zinazotumwa nchini.

Doha na Dubai nilishangaa sana jinsi Wakenya walivyokuwa wengi tena wake kwa waume na jamaa mtaani wanapiga Kiswahili tu.

Na nyie mmeanza kuhamia nchi za nje miaka mingi sana ukilinganisha na siye Wabongo.

How is this not newsworth....
Hivi nyie mnao diaspora, na wakitoka huwa wana manufaa gani kwa nchi au wanaaishia kushangaa shangaa nchi za watu, kuna wale huwa naona wakijinadi humu eti 'USA baby'.
Wapeni uraia pacha muone watakavyo wajenga nyie mliodumaa humo.
 
How is this not newsworth....
Hivi nyie mnao diaspora, na wakitoka huwa wana manufaa gani kwa nchi au wanaaishia kushangaa shangaa nchi za watu, kuna wale huwa naona wakijinadi humu eti 'USA baby'.
Wapeni uraia pacha muone watakavyo wajenga nyie mliodumaa humo.

Hamna uhusiano wa uraia pacha na kutuma pesa nyumbani. Hiyo ni moja ya sababu za kijinga wanayotoa watu wanaotaka uraia pacha. Btw, tabia yenu ya watu mnaoishi Afrika kutuombaomba pesa imetuchosha. Ebu muangalie Mkenya mwenzenu anavyolalamikia mizinga ya watu wa nyumbani.

PATRIOTISM!
Mungu anisamehe, ila JKN alifanya mambo makubwa sana hapa nchini, sina haja ya kuelezea juu ya mchakato husika, yes, hata kujiita Wa-Tz ni kwa sbb yake but, lipo jambo hapa linalohitaji udadavuzi! Nalo ni (question-wise): Ni kwa nini ni vigumu sana kwa Mtanzania kujivunia u-Tanzania wake kama Wakenya wanavyojivunia Ukenya wao?!!!!! This needs to be answered by GREAT THINKERS and not NORMAL Thinkers!

Hamna ushahidi na unalosema zaidi ya kuleta hadithi za vijiweni. Kama ungewahi kuishi na Wakenya ungegundua kuwa unachoongea hapa ni kinyume cha ukweli.
 
How is this not newsworth....
Hivi nyie mnao diaspora, na wakitoka huwa wana manufaa gani kwa nchi au wanaaishia kushangaa shangaa nchi za watu, kuna wale huwa naona wakijinadi humu eti 'USA baby'.
Wapeni uraia pacha muone watakavyo wajenga nyie mliodumaa humo.
Man, at least waende wakachukue ujuzi waje wajenge nchi, Kwa Tanzania wapo wengi, japo sijui idadi na so long as hatushindani nani anao wengi zaidi ya mwenzie, Wapo watanzania wameajiriwa nchi tofautitofauti, Kuna baadhi ya Experts Kikwete aliwarudisha tz waje kujenga nchi kwani walikuwa tayari na ujuzi wa hali ya juu akiwemo Prof.Muhongo. Dr.Mvungi, Dr.James Mataragio( former TPDC MD) na wengineo wengi, wapo wengine wengi wanaofanya kazi huko na wana ujuzi, atleast nchi zetu zingekuwa na utaratibu wa kupeleka wanafunzi huko wakajifunze na kuiba technology to me ingekuwa ni news, To me it is not always about Money, tumetofautiana mkuu, siwezi kujivunia hela tu ambazo pengine sijui wanazipataje huko, Either wameolewa huko ikiwa wao ni wanaume kama huyu Mkenya msomi alivyofanya huko USA?
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
IMG_20171013_055537_388.JPG

Au wananyanyasika majumbani kama wale wa UAE na nchi nyingine za waarabu au wanabeba mabox huko, Kuna Dada zenu wanauza papuchi huko uarabuni wanapata hela wanawatumia halafu mnakuja kureport na kuturingishia humu,
Lakini tumetofautiana mtazamo mkuu,
Ndio maana nikasema Hongera kwenu, but to me It doesn't make any sense.
 
Hamna uhusiano wa uraia pacha na kutuma pesa nyumbani. Hiyo ni moja ya sababu za kijinga wanayotoa watu wanaotaka uraia pacha. Btw, tabia yenu ya watu mnaoishi Afrika kutuombaomba pesa imetuchosha. Ebu muangalie Mkenya mwenzenu anavyolalamikia mizinga ya watu wa nyumbani.

Hahaha mkuu umenikumbusha Story ya Emanuel Adebayor, Umaskini unatuaibisha waafrica.
Sipendi kabisa habari za Namna hii maana zimekaa kimaskini sana.
 
Man, at least waende wakachukue ujuzi waje wajenge nchi, Kwa Tanzania wapo wengi, japo sijui idadi na so long as hatushindani nani anao wengi zaidi ya mwenzie, Wapo watanzania wameajiriwa nchi tofautitofauti, Kuna baadhi ya Experts Kikwete aliwarudisha tz waje kujenga nchi kwani walikuwa tayari na ujuzi wa hali ya juu akiwemo Prof.Muhongo. Dr.Mvungi, Dr.James Mataragio( former TPDC MD) na wengineo wengi, wapo wengine wengi wanaofanya kazi huko na wana ujuzi, atleast nchi zetu zingekuwa na utaratibu wa kupeleka wanafunzi huko wakajifunze na kuiba technology to me ingekuwa ni news, To me it is not always about Money, tumetofautiana mkuu, siwezi kujivunia hela tu ambazo pengine sijui wanazipataje huko, Either wameolewa huko ikiwa wao ni wanaume kama huyu Mkenya msomi alivyofanya huko USA?
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 608212
Au wananyanyasika majumbani kama wale wa UAE na nchi nyingine za waarabu au wanabeba mabox huko, Kuna Dada zenu wanauza papuchi huko uarabuni wanapata hela wanawatumia halafu mnakuja kureport na kuturingishia humu,
Lakini tumetofautiana mtazamo mkuu,
Ndio maana nikasema Hongera kwenu, but to me It doesn't make any sense.
Kumbe baadhi ya hizo pesa wanazipata kwa kuuza puru na maqu? Shkamoni wakenya, kweli siyo rahisi kujenga MIC.
 
Back
Top Bottom