joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 Dec 14, 2019 #1 Alianza Matiang'i kufanya Kazi nzuri mkamuita Magufuli, sasa huyu amejitokeza mnamuita Magufuli mpya wa Kenya, mnadhari Uhuru Kenyatta atajisikiahe?. Sent using Jamii Forums mobile app
Alianza Matiang'i kufanya Kazi nzuri mkamuita Magufuli, sasa huyu amejitokeza mnamuita Magufuli mpya wa Kenya, mnadhari Uhuru Kenyatta atajisikiahe?. Sent using Jamii Forums mobile app
macson3 JF-Expert Member Joined Nov 10, 2017 Posts 1,134 Reaction score 1,230 Dec 14, 2019 #2 Kwa mimi mtz najihisi raha sana,ila kwasababu sijaulizwa ngoja nitulie tu. Heshima yako Chief. Kana kane ni kamo
Kwa mimi mtz najihisi raha sana,ila kwasababu sijaulizwa ngoja nitulie tu. Heshima yako Chief. Kana kane ni kamo