View attachment 1103006
Wamezoea ukora wanafikiri kila mtu ni wa kumchezea. Sasa subirini mayaya ambao wanafanya kazi Uarabuni watakavyo rudishwa ndiyo mtatia akili.
Ahaa haa
Ninachombea asije akawasomea albadili nchi nzima ...... ukizingatia ni mwezi mtukufu...
Hehehe pole broh. I can see you are more concerned with this issue than Kenyans. Anyway we have already paid the gold.Yaa I understand, but at this stage the state has to posively and actively intervene. I think now you have seen, it's no longer one on one deal.
siungi mkono suala lilitokea,ila kutishia kwamba ana cut diplomatic tie sio lugha ya kidiplomasia,kwani kenya haiwezi survive bila yeye?.Kenya msimpe gold zake na a-cut hiyo diplomatic tie
View attachment 1103006
Wamezoea ukora wanafikiri kila mtu ni wa kumchezea. Sasa subirini mayaya ambao wanafanya kazi Uarabuni watakavyo rudishwa ndiyo mtatia akili.