Wakenya: Ruto awe anaishi nje ya nchi kuliko kusafiri kila siku

Wakenya: Ruto awe anaishi nje ya nchi kuliko kusafiri kila siku

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Ruto ndio Rais anaongoza kusafiri sana hapa Afrika ,akifuatiwa na Rais wa Nigeria.

My Take
Labda anawatafutia kazi ma Hustlers 😁😁

=====

Baada ya Rais Ruto kuwa na ziara nyingi sana nchi za nje, baadhi ya Wakenya warusha kejeli kwenye mitandao ya kijamii kwa kumuita majina mbalimbali kama vile mtalii, mtengeneza makala za utalii na nk, kumkaanga kutokana na tabia yake hiyo ya kutopatikana nchini kwake muda mwingi.

ruto.png


Screenshot_20240530-140325.jpg
Screenshot_20240530-140428.jpg

===

Pia soma: Ruto: Nilitumia pesa kidogo kwa ziara yangu ya Marekani
 
Wakenya wanalalamika Bure tu.Rais wa tanzania ndiyo anaongoza kusafiri kuliko rais yeyote hapa Africa .
 
Hebu acheni utani, hivi Africa hii kuna Rais anayewafikia Samia na Kikwete kwenye safari za nje tena za anga?.... Thubutu!! 😲
 
Kwenye uongozi wa kibaki ndio uchumi uliimarika na hakusafiri sana ,
 
Back
Top Bottom