ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Si kweli labda kama tunatafuta watatu na wa piliRuto ndio Rais anaongoza kusafiri sana hapa Afrika ,akifuatiwa na Rais wa Nigeria.
My Take
Labda anawatafutia kazi ma Hustlers ๐๐
View: https://www.instagram.com/p/C7loeVctepA/?igsh=MW9tc3RzMmZhdnU5ZA==
Samia ana afadhali,Huwa anaenda kwenye matukio makubwa tuu na safari za Samia huwa zinarudi na pesa.Si kweli labda kama tunatafuta watatu na wa pili
.. Samia kawafunika wote
Ndio anasafiri kusaka fursa za watu wake
Hata kwa Uhuru walilalamika hivyo pia,.....kawaida ya wananchi hiyo.Ruto ndio Rais anaongoza kusafiri sana hapa Afrika ,akifuatiwa na Rais wa Nigeria.
View attachment 3003652View attachment 3003653
My Take
Labda anawatafutia kazi ma Hustlers ๐๐
View: https://www.instagram.com/p/C7loeVctepA/?igsh=MW9tc3RzMmZhdnU5ZA==
Ruto amezidi anaongoza Africa ๐คฃ๐คฃHata kwa Uhuru walilalamika hivyo pia,.....kawaida ya wananchi hiyo.
Si kweli labda kama tunatafuta watatu na wa pili
.. Samia kawafunika wote
Huyu wa kwetu naye si mure mure tu,Ruto amezidi anaongoza Africa ๐คฃ๐คฃ
Wa kwetu ana afadhali na Huwa anasafiri Kwa Ajili ya biashara na mikopo ya FedhaHuyu wa kwetu naye si mure mure tu,
Tangazo hili ni zuri, Watanzania yatupasa kufanya hivi hivi.