Mimi nadhani hili andiko linamuhusu SSH wa Tz. Huyu bi kidawa alikaa Marekani siku nyingi bila hata kukutana na Mkuu wa nchi ili hali alienda kama mkuu wa nchi atokako!! Hivi inaingia akilini mkuu wa nchi kwenda nchi nyingine usikaribishwe na mkuu wa nchi husika! Ref: loyal tour