Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Lazima waingie mtandaoni kukutana nao.Sasa unashauri watumie njia ipi kuongea na viongozi viziwi wenye kibri?
Kwa Mfano hapa kwetu,
Njia zipi za kuongea na Mwigu akakuelewa?
Mkuu vijana 23 tayari wamepoteza maisha, utataka wangapi wafe?Watu wapo barabarani we unatuma tuma vimeseji humu. Keyboard warrior. Nenda KE pitia Aru au TA ukawaambia barabarani. Wamezima simu wako site.
Dialogue na mtu anakwambia yeye ni kiziwiMkuu vijana 23 tayari wamepoteza maisha, utataka wangapi wafe?
Dialogue ndiyo njia pekee kumaliza hii kadhia.
Sasa hivi anasikia vizuri tu.Dialogue na mtu anakwambia yeye ni kiziwi
Vichekesho umeanza lini?🤣Sasa hivi anasikia vizuri tu.
Mtandao upi Kuna kiongozi anayejibu HOJA za wananchi?Lazima waingie mtandaoni kukutana nao.
Mitandao ndio njia ya vijana.
Siyo rahisi, nchi zetu hizi zina mambo mengi yatuhusuyo pamoja. Amani Kenya ni buheri ya Tanzania.
Viongozi wengi tu wamekiri kupata ushauri toka mitandaoni, wana ract vipi wanajua wenyewe.Mtandao upi Kuna kiongozi anayejibu HOJA za wananchi?
Nani ukimtag hapa anaweza kuja kujibu?
Kenge kweli wewe juha! Waache wakenya wajenge nchi yao,wewe endelea kumsifia Bibi tozo na amani yenu ya kinafiki,mwakani sukari itauzwa kilo 8000,Wakenya, wenzetu ndugu zetu na majirani zetu.
Yanayoendelea kwenu si ya kufurahisha na hata wanoshabikia hawaelewi mateso yanayowapata baadhi ya wakenya.
Msiivuruge nchi yenu tafadhali.
Ilindeni amani yenu na tatueni matatizo yenu kwa amani.
Vijana Gen Z, waombwe watuulie wakati wazee toka kila kabila la Kenya, iwe Wajaluo, Wakikuyu, Wakalenjin, Wamasai, Wakamba. Wameru na Waturkana na wenzangu na mie Wadigo wa Mombasa, wazee wao wakusanyike wakati huu na kuwapoza vijana.
Amani ya Kenya ndio amani ya Tanzania.
Tunawaombea Wakenya.
Mkuu vijana 23 tayari wamepoteza maisha, utataka wangapi wafe?
Dialogue ndiyo njia pekee kumaliza hii kadhia.
Vita ya bunduki inamalizwa kwa bunduki demokrasia ni ujinga tuMkuu vijana 23 tayari wamepoteza maisha, utataka wangapi wafe?
Dialogue ndiyo njia pekee kumaliza hii kadhia.
Its not fun ukilipuliwa na bullet!Vita ya bunduki inamalizwa kwa bunduki demokrasia ni ujinga tu