Wakenya tujitokeze kuishabikia Gor Mahia dhidi ya Yanga ya Tanzania

Wakenya tujitokeze kuishabikia Gor Mahia dhidi ya Yanga ya Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mimi nikiwa Tanzania huwa shabiki wa Yanga sports club, mshabiki wa damu, lakini hapa uzalendo kwanza, kama nitakua na nafasi hiyo siku lazima nibebe vuvuzela yangu na kushukia Dar. K'Ogalo juu!! Giniwasekao. Ama shienu ni shienu, nyumbani kwanza.

Gor Mahia have been pooled in a tough Group ‘A' of this year's Cecafa Kagame Cup tournament to be held in Dar es Salaam, Tanzania.

According to the draw conducted on Wednesday and obtained by Goal, K'Ogalo have been pooled alongside Tanzanian giants Yanga FC, Al-Khartoum (Sudan), Telecom of Somalia and KMKM of Zanzibar.

Last year's losing finalists Rwanda's Patriotic Army (APR), another Sudanese outfit Al Shandy, LLB (Burundi) and Elman (Somalia) will comprise Group ‘B' while Group ‘C' will comprise Azam (Tanzania), Malakia (South Sudan), Kampala City Council (Uganda) and Adama City (Ethiopia).

Two teams from each of these three groups, alongside the two best losers will proceed to the quarter-finals of the competition with all matches in the three-week tourney being played at the 60,000-seater National Stadium in Dar es Salaam.

1598982hp2.jpg

DRAW IS OUT: Cecafa secretary general Nicholas Musonye speaks during the draw

Gor Mahia will launch their campaign for the elusive crown against Yanga on July 18, take on KMKM of Zanzibar on July 20, face Anthony 'Teddy' Akumu's Al-Khartoum of Sudan on July 24 before winding up their preliminary matches against Telekom on July 26.

The top three teams will each be handed Sh3m, Sh2m and Sh1m respectively, in prize money. Gor Mahia will be representing Kenya at the regional competition for second successive year. They will be keen on snatching the title from Sudan's powerhouse El-Merreikh, who beat host club APR of Rwanda in last year, with Kenyan striker Allan Wanga, scoring the all-important goal.

K'Ogalo suffered the ignominy of being tossed out at the group stages last term without winning a single match under then coach Bobby Williamson. The then K'Ogalo squad was light weight compared to the current coherent outfit and the Kenyan champions will have every reason to stake a claim at the trophy.

The competition will run from July 18- August 2.
http://www.goal.com/en-ke/news/4522/kenya/2015/07/01/13207022/gor-mahia-draw-yanga-fc-in-kagame-cup
 
we MK254 ni mpinzani wangu kila sehemu ,hao yanga unaowashobokea sisi tuliwatandika 5 kwa 0,we MK254 unadamu ya uCCM ndo maneno vielement vya ufisad havikuishi rohoni mwako. nilishuhudi mech ya simba na gor mahia ilipigwa wanja wa taifa,wakenya mlijeruhi vibaya sana, habar za simba pia waulizen sofapaka
 
Last edited by a moderator:

falcon mombasa Nilihudhuria mechi ya mtani jembe, na tuliona nani mpini na yupi jembe.
 
Last edited by a moderator:
falcon mombasa Nilihudhuria mechi ya mtani jembe, na tuliona nani mpini na yupi jembe.

mtani jembe zote yanga wametoka vilaza,yanga kila mech anayocheza na simba lazima apigwe hata kama sio mtani jembe,nenda misri wanavyoiogopa simba.mi nitakupa jezi ya simba iliyoandikwa MK254 kisha uhamie kwa wakali wa msimbazi watoto wa jiji city center kariakoo, usipoteze muda wako kwa wana ccm yanga
 
Mara ya mwisho kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga walitoka sare 3-3 na ambapo baadhi ya mashabiki walizimia, pressure noma aisei. Hizo timu mbili zikikutana Bongo huwa hakukaliki, watu wanakua na presha kibao.
 
yaah ile mechi yanga ndio walioanza kushinda tatu bila hadi mapumziko,kipindi cha pili simba tulirudisha zote na tukaongeza la nne,refa akatufanyia uhasidi wa nyoka kwa kulikataa goli la nne, vp siku ile wewe hukuzimia?
 
Sijawahi kuiona K'Ogalos wakicheza soka hivyo nataraji kuwaona Kwenye hii michuano ili nijue ni timu ya aina gani......!

Lakini bila kipingamizi Dar es Salaam Young Africa FC iko vizuri this time around.

Yaani licha ya kuondoka kwa Ngassa..... bado pengo lake limezibwa na wachezaji wawili wapya.
 
yaah ile mechi yanga ndio walioanza kushinda tatu bila hadi mapumziko,kipindi cha pili simba tulirudisha zote na tukaongeza la nne,refa akatufanyia uhasidi wa nyoka kwa kulikataa goli la nne, vp siku ile wewe hukuzimia?

Duh! usinikumbushe majungu niliyokua nayo hiyo siku, yaani tumeshinda tatu bila halafu wapuzi wanaachia kijinga jinga zote zinalipwa. Nilinuna kishenzi, afu Simba wakishinda mechi huwa hakukaliki, wataimba kuhusu huo ushindi kila siku, hadi maofisini mjini....yaani kero.

Halafu shida nyingine, Simba wana njaa sana, hawana hela, hebu ona mgogoro wao na 'Messi' wanamg'ang'ania kwa kulazimisha mkataba wakati wameshindwa kumlipa. Waache akina Azam wenye uwezo wamchukue jamaa.
 
mtani jembe zote yanga wametoka vilaza,yanga kila mech anayocheza na simba lazima apigwe hata kama sio mtani jembe,nenda misri wanavyoiogopa simba.mi nitakupa jezi ya simba iliyoandikwa MK254 kisha uhamie kwa wakali wa msimbazi watoto wa jiji city center kariakoo, usipoteze muda wako kwa wana ccm yanga

Hivi kumbe wewe ni shabiki wa Simba sc.

Kwanza Nikupe pole sana kwa kukaa takribani miaka SITA 6 hadi sasa bila ya kuona ubingwa wa ligi.

Hata hivyo sidhani kama mtachukua ubingwa siku za karibuni.. Maana huwa mnashiriki ligi ili tu muifunge Yanga Fc.
 
Last edited by a moderator:
But still nataka kujua idadi ya Wakenya waliopo Dar for other issues...
 
Nadhani cecafa ya mwaka huu itapendeza na kunoga sana,nimeanza kuona hamasa mapema ila mimi kwa Kenya huwa naipenda sana AFC Leopard....hapa nyumbani Young Africans tuu au timu ya Taifa ,timu ya wananchi,sasa Gor mahia mnakazi yakufanya siku hiyo ya kwenda kuokata mipira kwenye nyavu zenu
 
Duh! usinikumbushe majungu niliyokua nayo hiyo siku, yaani tumeshinda tatu bila halafu wapuzi wanaachia kijinga jinga zote zinalipwa. Nilinuna kishenzi, afu Simba wakishinda mechi huwa hakukaliki, wataimba kuhusu huo ushindi kila siku, hadi maofisini mjini....yaani kero.

Halafu shida nyingine, Simba wana njaa sana, hawana hela, hebu ona mgogoro wao na 'Messi' wanamg'ang'ania kwa kulazimisha mkataba wakati wameshindwa kumlipa. Waache akina Azam wenye uwezo wamchukue jamaa.

kwani sasa uko kenya au bongo? manake huo mgogoro wa endru singano "messi" ni latest sana, vp ulikuwepo mechi ya brazil ilivyocheza na taifa stars uwanja wa taifa ?
 
kwani sasa uko kenya au bongo? manake huo mgogoro wa endru singano "messi" ni latest sana, vp ulikuwepo mechi ya brazil ilivyocheza na taifa stars uwanja wa taifa ?

Fahamu mitandao ipo ya jamii inayoniwezesha kujadili mechi ya Ulaya hata bila uwepo wangu huko, kwa mfano ingia kwenye Jamii Forums upande wa michezo, utapata taarifa kuliko wanaotegemea gazeti.
 
Back
Top Bottom