Wakenya tushukuru kwamba tuna katiba mpya(2010) ambayo ilileta 'checks & balances', kupitia vitu kama usaili ambavyo vinatuepushia aibu kama hizi

Angalau umenyosha maelezo, maana nilitaka nishangae, tangu lini vetting ikawa equivalent to usaili (interview).

Hiyo hesabu ya 2020 minus 2010 jibu ni 3 if you apply the calculus (differentiation from the first principle).
😁😊
Differentiation ya 10 ni 0 maana 10 ni constant. Differentiation ya 10x ndio 10. Differentiation ya 3x ndio 3. Ujue unadili na wasomi hapa, sio watu wanaokaa juu ya mawe wakipiga soga. Huwezi kutudanganya. Kubali tu kwamba maths is not your forte.
 
πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜• This is pure jibberish, unajua maana ya CV? Vetting kwa mfano ni kama hii ya CS Monica Juma, kabla hajafanyiwa 'clearance' kuwa waziri wa masuala ya nje.
 
kikwete ndio aliwahi kutuingiza chaka kwa kumteua yule jamaa aliefoji cheti akatuaibisha kule Zimbabwe. huyu wa sasa ni kitete tu, nina imani yupo vizuri. Japo inasemekana alipigwa misumari(kipapai)
 
πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜• This is pure jibberish, unajua maana ya CV? Vetting kwa mfano ni kama hii ya CS Monica Juma, kabla hajafanyiwa 'clearance' kuwa waziri wa masuala ya nje.
Facing the panel ndio vetting? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Sio wewe ulioandika hiki πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

historia ya wateuliwa huwa vinazingatiwa. Hadi na vyeti vya walioteuliwa huwa vinafanyiwa 'authentification'

Na sio mimi niliokujibu accordingly πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Ndio maana education system yenu iko ranked low[emoji23][emoji23], how can a person with a master degree ashindwe kusoma? Ama alinunua certificates?[emoji23][emoji23][emoji23]
Elimu yenu unayoiZungumzia ambayo inazalisha walarushwa na mafisadi?
 
Differentiation ya 10 ni 0 maana 10 ni constant. Differentiation ya 10x ndio 10. Differentiation ya 3x ndio 3. Ujue unadili na wasomi hapa, sio watu wanaokaa juu ya mawe wakipiga soga. Huwezi kutudanganya. Kubali tu kwamba maths is not your forte.
Aha haaa
Wewe kumbe ni msomi saafi kabisa.
Mzee kwa hiyo arithmetic 2020 take away 2010 ni ngumu kiasi cha kunishinda. You made my day.
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜
 
Facing the panel ndio vetting? Sio wewe ulioandika hiki Na sio mimi niliokujibu accordingly View attachment 1647453
Aisee, we jamaa ni kichwa boga kupindukia. 😁 Huelewi hadi vitu simpo kabisa kama caption ya video 'facing the panel', yaani kumaanisha 'vetting panel'. Hivi unasurvive aje kwenye dunia hii ya sasa na uelewa finyu kama huo? Sitapoteza muda wangu tena.
 
Ndio maana education system yenu iko ranked low[emoji23][emoji23], how can a person with a master degree ashindwe kusoma? Ama alinunua certificates?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa inaonyesha ni kiasi gani mlivyo na uwezo mdogo wa akili, kwahiyo hiyo miaka takriban 15 akiwa mtendaji serikalini kama DED wewe ndiye ulikua ukumsomea na kumuandikia?.

Kwa uwezo huu wa kufikiria mambo, hamtoweza kuwashinda Alshabaab, they are much smarter than you stupid.
 
Kiingereza?... You are better than this Tony, don't put yourself down. What is English by the way?, Tanzania we are above than English language, we have our own langiage which soon will be an African language, never tell us again about English.
 
Vetting ni usaili????

Kajifunze tena kiswahili zwazwa wewe
 
Vetting ni usaili????

Kajifunze tena kiswahili zwazwa wewe
Soma uzi kwa umakini we kibwengo, kutoka mwanzo hadi mwisho kabla ya kucomment. Kama VPN inakutatiza usilete usumbufu wako humu.
Vetting ni process na kikatiba nchini Kenya
huwa inajumuisha vitu kadhaa ikiwemo uhakiki, usaili ndio huwa hatua ya mwisho kabla ya kuapisha.
 
Soma uzi kwa umakini we kibwengo kutoka mwanzo hadi mwisho kabla ya kucomment. Kama VPN inakutatiza usilete usumbufu wako humu.
Vpn ingenitatiza ungeniquote bwegenaz wewe???

Mabeberu meusi nyieee
 
Kiingereza?... You are better than this Tony, don't put yourself down. What is English by the way?, Tanzania we are above than English language, we have our own langiage which soon will be an African language, never tell us again about English.
Utakufa na wajukuu wako pia watazeeka hadi wafe before that Kiswahili ikue main language ya Eastern Africa[emoji23][emoji23][emoji23]. Kiswahili has no future.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…