Wakenya tushukuru kwamba tuna katiba mpya(2010) ambayo ilileta 'checks & balances', kupitia vitu kama usaili ambavyo vinatuepushia aibu kama hizi

Utakufa na wajukuu wako pia watazeeka hadi wafe before that Kiswahili ikue main language ya Eastern Africa[emoji23][emoji23][emoji23]. Kiswahili has no future.
Hahahaha, Tanzania tumefanikiwa kukifanya Kiswahili kuwa lugha rasmi ya AU, SADC, EAC na sasa hivi tinaipeleka UN. Ninyi endeleeni kuwa farasi wa Waingereza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ndio maana ya vetting, screening or assessing 👇👇

Vetting is the process of thoroughly investigating an individual, company, or other entity before making a decision to go forward with a joint project. A background review is a vetting

There's no thoroughly investigation on just asking questions, that's an interview, vetting is about digging the background review without even the targeted individual got the idea behind, what video shows is a mere interview.

In Tanzania 🇹🇿 vetting on this bigger government officials are derived by the topnotch national intelligence unit under the extensive unique substantial management.
 
Hawa jamaa zetu wa hapo Kaskazini akili zao wanazijua wenyewe. Wanapenda kiki na sifa za kijinga. Kama TZ isingekua na msimamo wangetusumbua sana na zile conspiracy theories zao kua madereva wa malori kutoka Tanzania wanaingiza Corona Kenya. Sijui walikua wanataka nini kitokee?
 
Angalieni zwazwa lingine hili,[emoji16][emoji16][emoji16]
Eti vetting ni usahili, yaani hata Kiswahili halijui..
BBI, funza (jiggers) na prolonged starvation vime impair sana Bongo zawakunya kama hili tutusa,
Sasa yule jamaa kupata kiwewe na kushindwa kuapa inahusiana vipi na Katiba?
Hii Katiba mpya ndio imefanya muwe na Rais mlevi na mwizi,Gavana wa Nairobi Illiterate,mvuta bangi na mshukiwa wa madawa ya kulevya
 
Yule Rais wao mlevi anaitaga Pandemic, kwa ishu ya Covid-19 imefanya tujue Wakenya ni vilaza tupu, yaani nchi nzima Matutusa,
Imagine hadi leo bado wanasoma cases na wamefunga mashule na carfews, wao wanaamini Covid-19 inasambaa usiku kwaiyo mchana wanachangamana huko Korogocho na Huruma slums na saa 1 jioni wote wanatakiwa wawe majumbani kuepusha maambukizi ya corona..
Rais mlevi + mwizi, Wabunge vilaza na wezi,
Serikali ya Kenya imekuwa ikikopa wastani wa bilioni 80 za Tz kila siku kipindi chote cha Corona na haijulikani pesa imeenda wapi.
 
Mkenya na akili wapi na wapi? 😅😅
 
Mimi Francis Kumba Ndulane... Mimi Francis Kumba Ndulane... Mimi Francis Kumba Ndulane naapa kwamba sijui hata ni nini kimenileta hapa. Ewe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naomba uniondolee aibu na fedheha maana sijielewi 😂 😂 😂

Magufuli: We ondoka hapa!!
 
Differentiation ya 10 ni 0 maana 10 ni constant. Differentiation ya 10x ndio 10. Differentiation ya 3x ndio 3. Ujue unadili na wasomi hapa, sio watu wanaokaa juu ya mawe wakipiga soga. Huwezi kutudanganya. Kubali tu kwamba maths is not your forte.
Unachapia bana, siyo "differentiation ya" bali ni "derivative ya". Differentiation is a process of finding the derivative. Thus, we say the derivative of coth(x) is 1-coth(x)² and so on.
 
Unachapia bana, siyo "differentiation ya "bali ni "derivative ya". Differentiation is a process of finding the derivative. Thus, we say the derivative of coth(x) is ln(|sinh(x)|) and so on.
Sawa genius.
 
Ndio elimu ya Tz hiyo. Kuna wengine wana hadi PhD ila wakifungua vinywa vyao utadhani ni wanafunzi wa darasa la tano nchini Kenya.
Kwa mfano magufuli ana PhD ya chemistry na hakuna scientific paper hata moja aliyoweza kupublish.
 
Kabisa kabisa ndugu Mkenya, naunga mkono hoja. Tanzania tuna utawala wa MKONO WA CHUMA, na ndio chanzo cha upuuzi wote huu mnaoshuhudia ukiendelea huku.
 
Yaani hata huna aibu kabisa ukitumia upumbavu wenu wa COVID-19 kutetea aibu kama hizi za kushindwa kusoma kiapo? Sasa hapo kuna ujanja upi, na kati ya Kenya na Tz ni nchi ipi ndio kichwa cha mwendawazimu hapa duniani? Eti u'genius' wa Jiwe lenu ni kwamba virusi vinaogopa mipaka ya Tz. [emoji38] Cc. Behaviourist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…