Wakenya tushukuru Mungu kwa demokrasia yetu, watani wetu wamebanwa hadi wanalia toshaaa, wanakiri kwamba nchi yao sasa imekuwa 'Police State'

Bofya kwenye hiyo link hapo juu kwanza, kisha soma taarifa kwa umakini. Alafu ndio urejee upya, naona ni kama unaongea kuhusu masuala tofauti na yanayojadiliwa hapa.
Ndio na sema hao wapinzani na wanaharakati uchwara idadi yao yote ni chini ya 5000..karibu wabunge wapinzani 50% washahama na kuja sisiemu kwa hiari yao..Juzi tu kiongozi wao na chaguo lao la rais pia kahama kwenda ccm..
Unaongelea watu wachache sana hata 1% ya 55mln haifiki..hawa hawafai kupewa fursa ya kuharibia 55mln maendeleo na utawala bora wa Jpm
 
Reactions: Oii
hwa jamaa hawaelewi km pia kwenye chama tawala kuna wapinzani..yani hku kwetu unaenda na akili zako mwenywe...ukiona katiba hairuhusu unapinga..ikiwa kama inaruhusu unaunga...hta km uko chama cha utawala..hamna cha kuogopana...

byda kuwa mbunge tanzania ni rahisi kweli..wewe ukijua kusoma na kuandika tayari unagombania...bwahahaaaa
 
So two dynastes can decide we do hand shake,referendum etc.... and every body follows despite of having beautiful new constitution that was obtained forcefully through blood.Just admit that your 2 bosses are determinants of Kenya politics bro.DYNAST RULES oyeeeee!!!!!!?
 
Utawala bora huwa hauna la kuficha wala kuogopa, iwe ni kutoka kwa wengi au walio wachache, hata iwe mtu mmoja. Ningependa uje na takwimu za kueleweka kama ushahidi kwamba wapinzani Tz sio zaidi ya 5,000. Maanake nadhani unaongea kuhusu Tz nyingine na sio hii ambayo wengine wetu tunaifahamu vizuri.
 
Acha uongo Mudavadi and Wetangala are both practically in the deal.Follow their statements boss
 
Rais Uhuru Kenyatta anaheshimu katiba, Raila Odinga pia anaheshimu katiba. Nyinyi mmetawalwa na chama kimoja cha sisiemu tangu mpate uhuru. Mbona wao hawana upendo wa kuandika katiba mpya au kuiheshimu na kuilinda katiba ya sasa?
 
Sio sisi nni mabeberu na mafisadi na wapiga dili ndio wameibana demokrasia yetu..in jiwe's voice

Majirani hebu tupen Uhuru Kenyatta japo for six months na sisi tuwape jiwe angalau tutapumua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo Mudavadi and Wetangala are both practically in the deal.Follow their statements boss
Mudavadi anamkashifu rais kila uchao na wala hajatupwa selo kama mwenzake Mbowe. Madvd hadi huwa anasema kwamba handshake ya rais U.K. na Raila haina tija na imepitwa na wakati!
 

Ahaaa haaa haaa
Subiri 2022.
 
Rais Uhuru Kenyatta anaheshimu katiba, Raila Odinga pia anaheshimu katiba. Nyinyi mmetawalwa na chama kimoja cha sisiemu tangu mpate uhuru. Mbona wao hawana upendo wa kuandika katiba mpya au kuiheshimu na kuilinda katiba ya sasa?
Huwezi tamka katiba bila Raila,kama kuna political torelance why yale mauaji ya watu kwenye maandamano wakati baba anarudi kenya toka ziarani
 
Link iko wapi? What are u smoking bro?

Sent using my Nokia Torch
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…