Wakenya Twitter walipoanza kupiga makelele hadi Mdude wa Tanzania akapatikana

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwa mara ya kwanza Watanzania wameomba msaada kwa wanaharakati wa Kenya, kawaida huwa wanaumia kimya, hii issue ya Mdude ilikua imeanza kupigiwa makelele na Wakenya na ingezagaa balaa, bora wamemuachia kwa kasi.




 
Wakenya mnapenda sifa za kijinga zisizowahusu.

reference: Kilimanjaro mountain, Diamond & Samatta
 
Wakenya mnapenda sifa za kijinga zisizowahusu.

reference: Kilimanjaro mountain, Diamond & Samatta
Mi sipendagi battle za kijinga, kushambuliana kati ya Wakenya na Watanzania. Jamani tubadilike, kila kitu kupingana tu, mbona sote ni binadamu? Unapata faida gani kuwashambulia Wakenya? Unapata faida gani kuwashambulia Watanzania? Mnataka hata tukikutana ugenini tukwepane? Aaah, jamani, haijakaa vizuri kabisa
 
Baada ya hapa, tunataka sasa na wale waliomuua Musando wapatikane.
#wauajiwamusando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…