Wakenya Waandamana IMF kupinga Serikali ya Kenya isipewe Mikopo

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Raia wa Kenya Wandamaana kutaka Shirika la IMF wasitoe Mikopo kwa Serikali ya Kenya

Julai 20, 2024 raia wa Kenya walifanya maandamano katika makao makuu ya IMF jijini Washington DC kutaka serikali ya Kenya kutokupewa mikopo na Shirika hilo kwani inatumika kizembe

Wakenya wamelaumu Shirika hilo kutoa mikopo kwa Serikali ya Kenya bila kusimamia Uwajibikaji ili kuhakikisha kuwa fesha hizo zinatumika ipasavyo

Wamedai kiasi kikubwa cha mikopo hiyo hutumika hovyo na maafisa wa serikali na kupelekea maandamano ya Kitaifa yaliyoanza Juni 2024 kutokana na kuongezeka kwa kodi

=====For English Audience=======
The protesters made it clear that their mission is to urge the International Monetary Fund (IMF) not to loan Kenya any money, alleging that previous loans have either been lost through corruption or used carelessly with little to show for the same. This is part of an ongoing protest that has rocked the East African nation to its core. Currently, the protesters are demanding that president William Ruto resigns.

Kenyans have in recent days faulted IMF for giving loans to the government with little or no accountability structures to ensure that the funds are used properly.

They noted that, consequently, a significant chunk ends up stolen by government officials and unscrupulous individuals via corruption.
With nothing to show for it, taxpayers then end up paying for loans whose benefits they cannot tell.

SOURCE: BUSINESS INSIDER
 
MUNGU WANGU NA BABA YANGU KWA AJILI YA MATESO MAKALI YA BWANA WETU YESU KRISTO UTUHURUMIE SISI NA DUNIA NZIMA!!!

AMINA 🙌
 
Back
Top Bottom