Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Bishop, sikuelewi vizuri. Unadhani hao wakenya wanaoishi Marekani hawana uwezo wa kujifikiria na kujiamulia wenyewe pasi na kumhusisha binadamu aitwaye Raila? Au labda unadhani hana wafuasi? Waandamanaji walikuwa na nia gani ,je? Hivi una habari ya kuwa chama flani kenya wanataka kupitisha sheria z kuhalalalisha uwizi na kuondoa uwazi na uwabijikaji kwenye uchaguzi?RAIA wa Kenya wanaoishi nchini Marekani wameandamana wakipinga Serikali yao ya Kenya, ikiwa ni siku 24, kabla ya uchaguzi wa urais wa marudio unaoatarajiwa kufanyika Oktoba 26, mwaka huu.
Raia hao wa Kenya wanaoishi jijini New York wameandamana kwa madai ya kupinga utawala waliouita mbovu unaongozwa na chama tawala, Jubilee chini ya Rais Uhuru Kenyatta.
Maandamano hayo yaliyohusisha maelfu ya raia hao yamefanyika mbele ya makao makuu ya ofisi za Umoja wa Mataifa...
Nina wasiwasi kuna mkono wa Raila kwenye haya maandamano. Wakenya kuweni makini na hawa wanasiasa: Uhuru/Ruto VS Raila, wanataka kuwagawa kwa maslahi yao binafsi badala ya maslahi ya Kenya...
Waje waandamane huku kwao
Hujambo?Waje waandamane huku kwao
Sijambo, nilifika salama huku mjiniHujambo?
Sisi wazima. Singidani vipi upepo?Sijambo, nilifika salama huku mjini
Baridi kali kweli kweliSisi wazima. Singidani vipi upepo?
Aacha upoyoyo, we ujui kuwa rais ndiye kila kitu? hao uliowataja waliwahi kuwa marais ? ni wapi walipewa bajet ya kutosha kutekeleza majukum yao wakashindwa ? na kama walishindwa serikali ilichukua hatua gan ? au we urais unaufananisha mchezaji wa mpira ? kuwa anaweza kununuliwa toka timu flan nakuja kuwa kapten wa hiyo timu,Sasa sijui unataka rais wao atoke wapi ambaye hajawahi kuwa kwenye serikali zilizopitaWajinga wa mwisho hawa wote.Mbona hawakulalama na kuandamana uongozi mbovu wa Kalonzo na Raila ambayo wamekuwa serikalini miaka 30 lakini hawana matunda yoyote ya kuonyesha ?
Kitui ndiyo hiyo - umaskini ,maji ni shida ,ajira ni shida.
Kibera ya Raila ndio hiyo umaskini umejaa,Nyanza ipo ukimwi hawezi shugulikia ,ufisadi huko hasemi chochote.
Hizi nchi ulizotaja zipo kundi moja na Kenya according to international security index,Waende Somalia, Afghanistan, Venezuela, Saudia au South Sudan kuandamana na siyo nchi tulivu, huru, tajiri, na ya kidemokrasia kama Kenya au waende Rwanda![emoji2]
Wajinga wa mwisho hawa wote.Mbona hawakulalama na kuandamana uongozi mbovu wa Kalonzo na Raila ambayo wamekuwa serikalini miaka 30 lakini hawana matunda yoyote ya kuonyesha ?
Kitui ndiyo hiyo - umaskini ,maji ni shida ,ajira ni shida.
Kibera ya Raila ndio hiyo umaskini umejaa,Nyanza ipo ukimwi hawezi shugulikia ,ufisadi huko hasemi chochote.
"Nairobi Business Community "
yaani hawa jamaa wanatisha...hawa...Kuandamana kweli kunahitaji ujasiri...ni hayo tuu...
hizo ni nchi za kidikiteitaWaende Somalia, Afghanistan, Venezuela, Saudia au South Sudan kuandamana na siyo nchi tulivu, huru, tajiri, na ya kidemokrasia kama Kenya au waende Rwanda![emoji2]