rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Wananchi wa Kenya huko maeneo ya Garisa, wameingia mitaani na kuchoma matairi wakipinga kufungiwa ndani na kukosa chakula kwa sababu ya ugonjwa wa Corona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahamie Tanzania,viongozi wa Kenya wanajifanya wako Ulaya.Hawana time na wananchi wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo rockdown uliyoandika hapa itawauwa....Wawapatie chakula Kwanza ndo wapige rockdown
Aisee nimecheka sanaHiyo rockdown uliyoandika hapa itawauwa....
bora wapigwe lockdown....