joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tony254 , wanasiasa wenu wakiongozwa na rais wenu lazima muwalazimishe kuacha kutumia Kiingereza katika shughuli za kitaifa, wakenya walio wengi hawaelewi Kiingereza, wachaneni na mawazo ya kitumwa.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app