joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 May 24, 2022 #1 Tony254 , wanasiasa wenu wakiongozwa na rais wenu lazima muwalazimishe kuacha kutumia Kiingereza katika shughuli za kitaifa, wakenya walio wengi hawaelewi Kiingereza, wachaneni na mawazo ya kitumwa. Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tony254 , wanasiasa wenu wakiongozwa na rais wenu lazima muwalazimishe kuacha kutumia Kiingereza katika shughuli za kitaifa, wakenya walio wengi hawaelewi Kiingereza, wachaneni na mawazo ya kitumwa. Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app