Wakenya waanza kufa kwa njaa, licha ya kuwepo kwa mvua nyingi

Wakenya waanza kufa kwa njaa, licha ya kuwepo kwa mvua nyingi

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Hali imekua ikijirudia kila mwaka, hawa sio wale wanaotoka maeneo yanayokumbwa na ukame, hawa ni watu kutoka maeneo ya Rift valley.

Kenya mbona hamjipangi kila wakati ni matatizo yasiyokwisha?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majanga si vitu vya kufanyia mzaha na dhiaka, shubammit
 
Lakini kusema ukweli huyu jamaa joto la jiwe hunishangaza sana, kila siku lazima awe wa kwanza kurepoti kuhusu Kenya. Duuuh! Tembea kule KT utazema kama Wakenya hujihusu na mambo ya tz. Acheni chuki majamaa.
 
Ni hatari sana nchi inapokumbwa na triple tragedies at the same season (Nzige, Njaa, Corona).

Hapo inabidi meagre resources za nchi zigawanyike ili kukabiliana na hayo majanga. Tatizo ni kuwa nchi kama Kenya bado haina huo uwezo, hapo ni kusubiri huruma za wazungu tu.

Hali imekua ikijirudia kila mwaka, hawa sio wale wanaotoka maeneo yanayokumbwa na ukame, hawa ni watu kutoka maeneo ya Rift valley.

Kenya mbona hamjipangi kila wakati ni matatizo yasiyokwisha?.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kusema ukweli huyu jamaa joto la jiwe hunishangaza sana, kila siku lazima awe wa kwanza kurepoti kuhusu Kenya. Duuuh! Tembea kule KT utazema kama Wakenya hujihusu na mambo ya tz. Acheni chuki majamaa.
Huyu siyo bure ama anamatatizo ya kisaikolojia au anajaribu kuficha upungufu mkubwa kwake kwa kumshambulia jirani.
 
Back
Top Bottom