Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Jamaa wanaangua kilio kama watoto wadogo, na huu ni mwanzo tu. Yajayo yanafurahisha.Kama hamtapiku Kenya na hili janga la Kacolona basi mtakuwa time Kama nguruwe aliyepewa almasi Ila akaikanyaga na kunyea.
Bro yatafurahisha Sana tusubiri tu.Jamaa wanaangua kilio kama watoto wadogo, na huu ni mwanzo tu. Yajayo yanafurahisha.
Tusubiri hadi lini wakati jamaa wameshaanza kuangua kilio cha uchungu bararbarani, tena mchana kweupee.Bro yatafurahisha Sana tusubiri tu.
ATCL iko wapi? 😂😂😂Sie tunapiga Dolla tu. Leo hiyo Mwanza International Airport View attachment 1454513
Sent using Jamii Forums mobile app
Naye anakwamua bandari kavu ya Naivasha.
Tusubiri Hadi mtakapojenga barabara hii ya Geita. Na hapa ndio mnachimba dhahabu na barabara mbovu hivi? No wonder mnaitwa LDC kwani hela za dhahabu zinaelekezwa wapi?Tusubiri hadi lini wakati jamaa wameshaanza kuangua kilio cha uchungu bararbarani, tena mchana kweupee.