Wakenya waanza kuuziana chupi kama barakoa

Jamaa anauza moja kwa Ksh 20. Wateja inasemekana ni wengi tu kama akina pingli-nywee na wengineo.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Offcourse, bila kunitaja kauzi kako ka umbea hakatanoga. Ila unafaa ujue kwamba hizo blog uchwara(Tuko na wenzao), ambazo huwa zinasomwa na mahouse girl zimekubeba malenge sana. Labda wamekukanganya kwasababu wametumia KES na sio hela za madafu Tzshs. Chupi ya 20KES? Afadhali wangesema soksi, moja. [emoji38] Anyway, hii ndio taswira huko kwenu Magufulistan, baada ya mfalme wa Chato kuwaambia kwamba 'kauongonjwa kadogo' kataangamizwa kwa maombi.
 
Mbona unaanza kuweweseka?
 
Mbona unaanza kuweweseka?
Nimekujibu kwasababu umenitag jombaa. Nakufahamisha tu, lakini natumai kina dada zetu watakuja kutueleza zaidi. Najua hujatia mguu wako nje ya Tandale ila chupi kwa KES20, labda maigizo. Acha kuwaza uccm 24/7, wahamasishe hawa watz wenzako, ili waache mzaha kwenye suala linalohusu uhai wao.
 
Leo nimekuona unakatiza mitaa ya Murang'a na begi lako limejaa barakoa, duh.
 
Wanatumia "vizibo vya asali" kama barakoa? Basi wanafaidi saaaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…