Wakenya wachoshwa na maamuzi ya kipuuzi ya serikali yao, wamuunga mkono Rais Magufuli/Tanzania

Wakenya wachoshwa na maamuzi ya kipuuzi ya serikali yao, wamuunga mkono Rais Magufuli/Tanzania

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

MY TAKE: Soma "Comments" hapo chini jinsi wakenya walivyochoshwa na ujinga unaofanywa na viongozi wao, ukweli ni kwamba wakenya wengi wana uwezo mdogo sana wa akili.

Sio kwamba wanafanya maamuzi mabovu kwa makusudi, tatizo ni uwezo mdogo walionao, lazima watarudia tena baada ya hili Julita.
 
Back
Top Bottom