joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wakenya wengi wameendelea kuvuka mpaka kwa njia za panya na kukimbilia Tanzania kwa kuhofia ugonjwa wa Corona na njaa.
Takriban wakenya 20 toka kaunti ya Kwale ambayo ni miongoni mwa majimbo manne yaliyokumbwa na ugonjwa wa Corona, na ambalo lipo chini ya " lockdown " wamevuka mpaka wa Horohoro kwa njia za panya na kukamatwa nchini Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app