Nawapeni siri moja ... mkenya hapendi kiswahili Kenya lakini akiwa Nje ndo lugha anayojinasibisha nayo na kuna nchi ukiongea kiswahili wanakuuliza wewe ni Mkenya mfano ni Dubai.... Siku moja kwenye ndege ya Fly dubai airhoster mmoja mweusi alitangaza ... humu tunawasiliana kwa lugha zfiuatazo... kiigereza .. kihindi. kiarabu... na akamalizia na KISWAHILI..aaliponikaribia nikamuuliza ndugu wajua kiswahili akasema aaahhh wewe watoka TZ sio ...ndio najua kiswahili mimi ni Mkenya. sis sasa mtu akipanda ndege tu baaaas keshakuwa mzungu!!!!