Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 66
Degree ya heshima sio ishu kivile, I would care less kama angepewa hata ishirini za dizaini hiyo lakini kutoka kwa reputable academic institution. Cha kusikitisha hapo ni kwamba ni dhahiri shahiri hiyo taasisi is a bunch of con artists tu. I almost cried kuona vibabu vya kiafrika tena viongozi who were supposed to know better, wakiwa paraded by the mzunguz kupokea degree za uzamivu only kumbe hata taasisi yenyewe haina mashiko na degree zao (hata kama ni za heshima) ni mashuzi matupu.Mamaa, mimi naweza kulia!
YAANI HADI RAISI WENU ANA PhD YA UVUNGUNI?
KWELI TANZANIA TUMELIWA NA TUMEPOTEZWA, HAKYAMUNGU.