Wakenya wakamatwa kwa ujambazi Olympic Rio 2016 mmoja adakwa akiwa uvunguni kajificha

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
13,277
Reaction score
40,924
Ile kauli ya Uhuru Kenyatta na Robert Mugabe kwamba wakenya ni majambazi Africa wanaongoza imejidhihirisha huko Rio Brazil.......

Afisa wa tano wa michezo ya Olimpiki nchini Kenya amekamatwa ikiwa ni miongoni mwa uchunguzi unaozunguka fedha na vifaa vilivyopotea katika mashindano ya Olimpiki mjini Rio.

Maafisa wa polisi walivamia nyumbani kwa Ben Ekumbo, ambaye ni makamu wa rais wa kamati ya Olimpiki na msimamizi wa shirikisho la waogeleaji.

Aliripotiwa kujificha chini ya kitanda.
Maafisa walipata maboksi ya viatu vya Nike pamoja na jezi ambazo zilikuwa hazijatumiwa ambazo zilipangwa kupewa wanariadha walioshiriki katika michezo hiyo.

Kukamatwa kwake kunajiri baada ya kudaiwa katika ripoti nyengine ya uchunguzi kwamba maafisa wakuu wa michezo waliiba zaidi ya pauni milioni 6.4 ,kama matumizi na vifaa vya wanariadha.
Maafisa wengine wanne walikamatwa mnamo mwezi Septemba.

Kiongozi wa ujumbe wa timu ya Kenya katika michezo hiyo Stephen Arap Soi alishtakiwa kwa kuiba dola milioni 250,000 ambazo zingetumika kugharamikia nauli,malazi pamoja na matumizi mengine ya wanariadha mjini Rio.

Makamu mwengine wa shirikisho hilo Pius Ochieng na katibu mkuu Francis Kinyili Paul pia walishtakiwa kwa kuiba jezi za Nike.

Source BBC Swahili
Rio 2016: Afisa ashtakiwa kwa kashfa ya fedha Kenya - BBC Swahili
 
Kwenye rangi, ni kwamba pamekosewa au ndio hivyo hivyo...
Maana hicho kiwango mh!!
 
Aliyekamatwa ni mtu mmoja. An official of the Olympics committee: Possession of "stolen items". Imekuaje wakenya tena?
 
Kuna walioiba pesa na kuna viongozi wajuu kabisa wameiba mpaka jezi na viatu aibuuuu natuaibisha waafrika viongozi wanaiba mpaka jezi aibuuuu!!!!

Makamu mwengine wa shirikisho hilo Pius Ochieng na katibu mkuu Francis Kinyili Paul pia walishtakiwa kwa kuiba jezi za Nike.
 
Your heading/ title of this post is misleading.
Toa maoni yako Kuhusu habari ya ujambazi wa wakenya don't investigate how grammatical accuracy the news have kikubwa inaeleweka na source ni BBC
 
You cannot misinform people then expect the basis of opinions to be shaped from your fallacious, myopic and most likely egocentric point of view.

Report accurately, then invite my opinion. Yes, crimes were committed but not as you report. Are you sure ni wizi au ujambazi?

Fact remains, your title is totally misleading. Then again, maybe I missed a crucial turning point. When did ALL KENYANS become "majambazi" as you put it? That's really uncalled for!
 
For the record, I do not approve of what these guys did (or do). It's unacceptable. Elite athletes spend upwards of TZS 8Mil on gear alone! (Try multiply that by the number of athletes)

Sadly, it's not "a Kenyan thing" as you'd like us to believe. Many more athletes across borders are suffering the same and then some more!

Unpaid allowances?
Double taxation?
Agents/ managers defrauding athletes?
Biased team selections?
Etc, etc
 
Kuna walioiba pesa na kuna viongozi wajuu kabisa wameiba mpaka jezi na viatu aibuuuu natuaibisha waafrika viongozi wanaiba mpaka jezi aibuuuu!!!!

Makamu mwengine wa shirikisho hilo Pius Ochieng na katibu mkuu Francis Kinyili Paul pia walishtakiwa kwa kuiba jezi za Nike.

unasema wakenya wanaaibisha Africa ilhali kwenye michezo hiyo hiyo ya olimpiki wakenya ndio walioiweka Afrika hususan east Africa kwenye ramani ya dunia. hawa waswahili bana smh.
 
You cannot misinform people then expect the basis of opinions to be shaped from your fallacious, myopic and most likely egocentric point of view.

Report accurately, then invite my opinion. Yes, crimes were committed but not as you report. Are you sure ni wizi au ujambazi?

Fact remains, your title is totally misleading. Then again, maybe I missed a crucial turning point. When did ALL KENYANS become "majambazi" as you put it? That's really uncalled for!
Shut up and take a flight to the Hague usinichoshe sababu ujambazi wenu umeshanichosha.
 
unasema wakenya wanaaibisha Africa ilhali kwenye michezo hiyo hiyo ya olimpiki wakenya ndio walioiweka Afrika hususan east Africa kwenye ramani ya dunia. hawa waswahili bana smh.
Apart from running randomly like lunatics you are good on thievery.
 
Shut up and take a flight to the Hague usinichoshe sababu ujambazi wenu umeshanichosha.
If not uncultured, I'll say it's rather naive! You bring forth information. You can't substantiate the info or have a sound discussion with others without being rude.

I'm sorry you know so little about this subject matter and Kenyans at large.

...and the little you know, basing on the level of hatred in your responses, you evidently don't know it well.

Back as you were; I let you be
 
look at the type of folks we discussing with, honestly people, we are discussing issues with loonies, that's why I stopped posting on these boards, do your thing bruh, I don't have the energy nor time for the back and forth.
Huhuhuhu tulia dawa iingie vizuri punguza mboyoyo.
 
If not uncultured, I'll say it's rather naive! You bring forth information. You can't substantiate the info or have a sound discussion with others without being rude.

I'm sorry you know so little about this subject matter and Kenyans at large.

...and the little you know, basing on the level of hatred in your responses, you evidently don't know it well.

Back as you were; I let you be
Did you know the meaning of shut up?
 
That's rude, out of line and uncalled for!
Yeah you are lunatics of course you are running chasing neither a thief (of course majority you are thieves) nor a chicken.
 
look at the type of folks we discussing with, honestly people, we are discussing issues with loonies, that's why I stopped posting on these boards, do your thing bruh, I don't have the energy nor time for the back and forth.
I second you!
 
na Tanzania walizoa medali ngapi na washiriki wasaba pekee?? kwikwikwi mnatia aibu nyie
 
Back
Top Bottom