Wakenya walivyogaragaza Watanzania kwenye mbio za Kili, namba moja hadi kumi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hehehe!! Ipo siku mtakuja kubali haka kainchi ketu sio ka kawaida, ukanda huu hakuna size yetu.
Yaani mbio zifanyike kwenu, Wakenya waalikwe kama wageni tu lakini waje na kufunika kuanzia namba moja hadi kumi, halafu naangalia majina yao hapa, hakuna mkimbiaji wa kutajika Kenya ambaye alihusika, hii sijui ni timu B au C au H
Itabidi watani mzungushe ukuta mlima Kilimanjaro ili mzuie Wakenya kuja na kuchukua kila kitu
----------------------------------------

Kilomita 42

1. Cosmas Muteti- Kenya
2. Elkana Yego- Kenya
3. George Onyancha- Kenya
4. William Koskei- Kenya
5. Kipngetich Timbwol- Kenya
6. Francis Nzyoki- Kenya
7. Stephen Kimbomet- Kenya
8. Stephen Cimemin Njogu- Kenya
9. Evans Taiget- Kenya
10. Mark Lukuya- Kenya

Leo Jumapili Machi, 4 2018 yamefanyika mashindano ya riadha mkoani Kilimanjaro ambayo ni maarufu kwa Kili Marathon ambayo hufanyika kila mwaka.

Mashindano haya hushirikisha watu kutoka mataifa mbalimbali, ambapo wale wote ambao hufanya vizuri hupewa zawadi, wakati wengine hupewa medali ikiwa ni ishara kwa walishiriki mbio
Kwa mwaka 2019, mbio hizo zinatarajiwa kutimua vumbi Jumapili Machi 3, 2019
Kenya yaigaragaza Tanzania Kili Marathon 2018. Haya hapa majina ya washindi
 
Wanasema kwamba ,,If you haven't got it in your head, you must have it in your legs" , ...
 
Halafu hao hao hebu kawaulize ikitokea haipo kichwani wala kwenye miguu inakua imehamia wapi...kwenye makalio au.
 
Moja hadi kumi. Wah KENYA!!!

Hawa ipo siku wataandika 'No Kenyans allowed' kwenye marathon, yaani ingekua lazima upate vibali ndio uruhusiwe kukimbia huko, wangetafuta kila njia ya kuzuia, maana aki hii sasa ni aibu, marathon kwao inakua a Kenyan affair, I can imagine those ten Kenyans were having a chitchat with each other while on the lead all the way to the end.
 
Hahaha! 😀 Hapo lazima walipiga gumzo. Au labda waliimba zile nyimbo ambazo watu huwa wanaimba wakilima shambani.
 
Achana na sisi tuko kwenye mijadala ya kitaifa Sisi, tuko na CAG Saa hii, kuna kiumbe anaitwa zito katuvuruga Sana, mbaya zaidi ni mambo ya ulongo
 
Ndo maana na sisi tunawachukua watoto wao wa kike na kuwaoa,maana wao wamekazania mbio tu,sisi tunakamata madem zao tunaoa kbsaaa[emoji21] [emoji21] [emoji21]
 
mbona hyo habari imeshapita kitambo tushaanza na kuisahau na tunaijua bhana........
 
Reminds me of an American politician's joke during the 2008 USA Elections; "No one wins against a Kenyan in any long race anywhere on earth even to the White House!"
That was in reference to Obama's win.

NB: 2018 London and Vienna Marathons this Sunday 22, April.
Kenyans as usual poised to rule the roost in both races!
 
Ndo maana na sisi tunawachukua watoto wao wa kike na kuwaoa,maana wao wamekazania mbio tu,sisi tunakamata madem zao tunaoa kbsaaa[emoji21] [emoji21] [emoji21]
Huku nilipo nipo na mtoto wa kikamba,soon namuagizia congo dust nije kumkomesha
 
Back
Top Bottom