May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,311 Reaction score 9,027 Jan 29, 2021 #1 Wiki moja iliyopita Rais Uhuru alienda kwenye moja ya Redio na kufanya mahojiano kwa lugha ya Kikuyu mwanzo mwisho, jambo ambalo limewaacha Wakenya wengi njia panda. Na mijadala inaendelea kumzodoa Raisi.
Wiki moja iliyopita Rais Uhuru alienda kwenye moja ya Redio na kufanya mahojiano kwa lugha ya Kikuyu mwanzo mwisho, jambo ambalo limewaacha Wakenya wengi njia panda. Na mijadala inaendelea kumzodoa Raisi.