wasitusumbue tunajenga viwanda na wazee wetu wapumzike kidogo baada ya kazi nzito. maana wakenya wanaaza hivo hivo mwisho wanauwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu Acha roho mbaya bhana
wakitwangana itakula kwao awam hii hatuna muda nao sisi watajuana wenyewe.watapigana biti tu ila sio kutwamgana au hata wakitwangana itakua sio kama ilivyokuwa kipindi kile. Saivi heshima imerudi katiba imepewa meno kidogo na mahakama zinaonekana zinanguvu.
Hapana mkuu hatujengi viwanda maana vinachukua mda sana watuache sisi tunanunua korosho watuache kidogo na wabanguzi ni wanajeshiwasitusumbue tunajenga viwanda na wazee wetu wapumzike kidogo baada ya kazi nzito. maana wakenya wanaaza hivo hivo mwisho wanauwana
We uko nyuma ya dunia.Wakuu.
hawa jamaa wameanza kampeni mapema na kurushiana maneno mara ruto mara raila.
mjue kabisa tuko busy kujenga viwanda mkitwangana hamtotuona tukija kuamua chochote huko kwenu.
Kenya inaenda vizuri and we should play for them .Kama unafatilia siasa zao juzi tu kwenye msiba wa baba yake KILONZO unaona jinsi walivyo kwenye government of national unit ingawaje kuna ukakasi kati ya Gideon moi na vp Ruto but everyday vitu vinaonekana positive.Ni jirani zetu na tuko wote eala let's wish them success!!!!Wakuu.
hawa jamaa wameanza kampeni mapema na kurushiana maneno mara ruto mara raila.
mjue kabisa tuko busy kujenga viwanda mkitwangana hamtotuona tukija kuamua chochote huko kwenu.
hawajaanza rasmi ndiyo maana president Uhuru anamtolea povu sana vp Ruto anamwambia its time ya kufanya waliyohaidi kwa wananchi ila shida ni Gidion moi anaonyesha interest ya kugombea na ana nguvu ya baba yake na support kubwa kwahiyo inamkwaza sana Ruto amekuwa mdogoKuanza kampeni mapema ni jambo zuri sana. Wapigakura wanapata fursa ya kuwajua vizuri wagombea. na kumtathmini kila mmoja kuhusu uwezo na udhaifu aliokua nao
Mambo ya kusubiri siku chache kabda ya uchaguzi ndio watu wanaanza kutangaza nia na kupiga kampeni inapelekea wananchi kupata kiongozo/viongozi bomu ambao wengine walikua hawana hata wito wa kuwatumikia Watanzania bali ile tu kusukumizwa wakajikuta washapata nafasi
Play = prayKenya inaenda vizuri and we should play for them .Kama unafatilia siasa zao juzi tu kwenye msiba wa baba yake KILONZO unaona jinsi walivyo kwenye government of national unit ingawaje kuna ukakasi kati ya Gideon moi na vp Ruto but everyday vitu vinaonekana positive.Ni jirani zetu na tuko wote eala let's wish them success!!!!
hao jamaa kila mtu anawaza uchaguzi wakati woteWakuu.
hawa jamaa wameanza kampeni mapema na kurushiana maneno mara ruto mara raila.
mjue kabisa tuko busy kujenga viwanda mkitwangana hamtotuona tukija kuamua chochote huko kwenu.