Wakenya wameanzisha meme za Kasongo kumpasha rais wao, je Watanzania wana nini cha kumnanga rahis wao?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Naomba upendekeze memes unazodhani zinafaa kupeleka salamu kwa rahis wetu kistaarabu ili ajue nasi tuna akili mbali na mawazo yetu ambayo yanaweza kumsaidia kurekebisha au kuboresha mambo. Namshukuru rais kwa fursa hii πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€.
Je wewe unasemaje mwanangu?
 
Huyu ana chawa wake wa kuwasikiliza ndiyo maana huwezi kuona anafanya midahalo sababu anajua hawana uwezo wa kujibu hoja
 
Itafanya vijana wapate ajira? punguzeni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…