Wakenya wamewashindwa wahamiaji haramu wasomali wameona wanyonge wao ni Warundi? Hii ni nini??

Room 28

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,077
Reaction score
1,736
Tuwekane sawa hapa,
Wasomali ninao ongelea hapa si wasomali wakenya ,Naongelea wasomali waliotoka somalia na kuingia kenya kwaajili ya kutafuta maisha, kuhamia na kufanya biashara!

Kwa takwimu tu ya June 2026, UNHCR zajdi 630,000 wakimbizi Kenya ni Somali na kufanya idadi kubwa zaidi kuliko nchi yyte ile Africa mashariki
(Hawa n wakimbizi unaweza sema labda ni watafuta hifadhi)

Takwimu nyingine inaonesha katika wahamiaji haramu wanaokamatwa zaidi kenya “top 3” warundi hawapo!!
Hii ndio top 10 ya wahamiaji haramu wanaoingia kenya kinyemera
1.Waethiopia
2.Wasomali
3.Waweitrea
4.Warundi
5.wamisri
6.Waganda
7.Watz

Unaweza ona tatizo la kenya hata si warundi ila wanatafuta mnyonge tu.

Poleni sana wakenya!!

Nb: Angalizo haya ni mawazo yangu + Takwimu
 
Wasomali wameshakuwa intergrated kwenye jamii yao waaaaaay long. Isitoshe kenya kuna makabila manne ambayo roots zake ni somalia
 
Wasomali wameshakuwa intergrated kwenye jamii yao waaaaaay long. Isitoshe kenya kuna makabila manne ambayo roots zake ni somalia
Elewa uzi mkuu, siongelei wasomali wa kenya
 
Duh hadi Wamisri wanazamia Kenya😂😂
 
Wasomali wameshakuwa intergrated kwenye jamii yao waaaaaay long. Isitoshe kenya kuna makabila manne ambayo roots zake ni somalia
Kwahiyo, Wasomali ambao ni wahamiaji haramu ni ruksa kuingia na kuishi bila bugudha kwa sababu ulizotoa? NIMEKUSOMA!👍👍👍👍
 
Wazamiaji duniani haukuanza leo, ni tangu enzi na enzi hata kwenye waliopanda walikuwa ni Immigration kutafuta maisha mapya.

Nimesoma miaka ya 60 na 70 tukiwa na wanafunzi ambao wazazi hawakuwa wakificha asili zao
Na walikuwa wakijivunia uasili wao
Kama wazambia na malawi na leo huwezi kuwajua na watoto wao wana post nzuri tu hadi serikalini.
Wahamiaji hawataisha kwenye opportunities hata wanyongwe wataingia tu
 
Wasomali sio wanyonge kiivyo ndugu kuwaletea usenge na wao wanakufanyia ushenzi.
Hata kwenye vurugu dhidi ya waheni huko S.afrika huwa hawaguswi.
 
Wasomali sio wanyonge kiivyo ndugu kuwaletea usenge na wao wanakufanyia ushenzi.
Hata kwenye vurugu dhidi ya waheni huko S.afrika huwa hawaguswi.

Wameshikana na kua kitu kimoja
 
By nature Binadamu ni kiumbe kinachohama kutoka eneo Moja kwenda lingine, Hii mipaka ya kisiasa ndiyo inafanya immigration ionekane kama ni jambo la haramu..

Wakenya kupambana na Warundi ni rahisi zaidi kuliko wasomali, kwanza Kwa sababu ni Jamii ya Daraja la chini na biashara zao hazina athari kwenye Uchumi wa Nchi kiujumla.. Ila wasomali kwanza ni Ma giant na biashara zao ni kubwa kubwa, kiasi kwamba Serikali inawategemea..

Pili ndani ya Kenya Kuna Jamii ya Wasomali ambayo ni Wazawa, inakuwa ngumu kutofautisha yupi tumtoe yupi tumwache..

Tatu, wasomali ni watata by nature. Kuwabugudhi Kwa namna yeyote ni kuhatarisha usalama wa Nchi Kwa namna fulani, kwanza Wana Pesa, pia Wana influence kubwa Serikalini na Wana mshikamano Mkubwa miongoni mwao..
 

Hapo umeeleweka
 
Kwahiyo, Wasomali ambao ni wahamiaji haramu ni ruksa kuingia na kuishi bila bugudha kwa sababu ulizotoa? NIMEKUSOMA!👍👍👍👍
HAkuna mahali nimesema kuwa ni ruksa, nimeelezea how deep this problem is

Tatizo umekuja na conclusion bila kuelewa logic
 
HAkuna mahali nimesema kuwa ni ruksa, nimeelezea how deep this problem is

Tatizo umekuja na conclusion bila kuelewa logic
Hakuna cha logic hapo. Watu wa JF mnapenda kutoa hoja za hivyo halafu mnajifichia kwenye eti, "akili kubwa", sijui "logic"! Ahahahahaha!!
 
HAkuna mahali nimesema kuwa ni ruksa, nimeelezea how deep this problem is

Tatizo umekuja na conclusion bila kuelewa logic

Watz wapo kenya pia kuna masai,wameru wakuryaa wa kenya nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…