EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Wakenya wamekuwa wakitumia mtandao wa kijamii wa Twitter kuuliza maswali kuhusu mahali aliko rais wao Uhuru Kenyatta.
Kenyatta aliondoka nchi humo Aprili 23 kukutana na Rais Xi Jinping nchini China, hata hivyo kuna taarifa kuwa alirudi kimya kimya.
Ukimya wa Rais huyo huku wengine wakidai alifuta akaunti zake rasmi za mitandao ya kijamii ndivyo vilivyo pelekea kuibuka kwa hashtag ya #FindPresidentUhuru, wakenya katika mtando wa kijamii wa Twitter maarufu KOT walituma ujumbe wa kutaka kujua rais Kenyatta yuko wapi.