Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
Mbunge wa Machakos Mh. Johnstone Muthama amewakuna Wakenya kwa kumtaka Rais Kenyatta na Mwenzake Ruto wabebe msalaba wao n kujisafisha mbele ya Mahakama ya ICC.
Amewaambia Wakenya kuwa ICC imefanya uchaguzi uliopeta uwe na amani kwani wanasiasa waliogopa kufuatiliwa na ICC.
Kwamba Uhuruto wafuatilie kesi yao kivyao na Wakenya wasijichanganye ndani ya shauri hilo.