run CMD
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 3,185
- 3,909
Asubuhi kuna fundraising ilianza kiutani huko M-Changa nikaona wameweka target Milion 10 ya Kenya sawa na kama milioni 200 ya Tz Kwa ajili ya kutibu walipata majeraha Jana..
Jioni hii nikusema ngoja nikaone zimefika ngapi kucheki duuh wameshapita Ile target na ilikuwa ni ya siku 26 bado siku 25
Jioni hii nikusema ngoja nikaone zimefika ngapi kucheki duuh wameshapita Ile target na ilikuwa ni ya siku 26 bado siku 25