Wakenya wanadai Mbwana Samatta ni raia wa Kenya

Ukiona hivyo ujue hawana cha kujivunia
 
Hahaha! [emoji1] Tulieni, kwani ni uongo? Anafanana sana na watu wa Kakamega, sio kwa pua lake hilo la Omwami. [emoji38]
 
Kisa wanyama anasugua sana benchi hadi kaota misumari
Ofcourse ukizingatia Origi ni Mbeligiji aliyezaliwa Ubelgiji na kukulia Ubelgiji kitu anacho-share na Kenya ni jina tu!
Ukiona hivyo ujue hawana cha kujivunia
Hebu pitieni hii orodha kwenye hii link muone wakenya zaidi ya 20 ambao wanacheza soka kwenye ligi za 'majuu'. Shida watz huwa mnaingiza stress zenu hadi kwenye utani. Ndio maana jina comedy kwenu ni msamiati wa kujiuma ulimi. Kenya Footballers abroad, Europe
 
Mtakoma ubishi, vyote vyetu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…