Wakenya wanahamasishana Leo kupitia tv mechi za kesho sisi tumezima Tv

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kesho time ya taifa kenya inacheza na Ghana usiku saa 3 hapa citizen tv kuna jopo la wachambuzi sita wa mpira wa miguu wakichambua kwa kina kubadilishana mawazo na uzoefu safari ya afcon ukisikiliza kipindi hiki kinachoendelea unahamasika sana cha kusikitisha upatikanaji wetu Tz wa information umekua wa kuungaunga sana
Swala hili litatukosti sana, kiuchumi,biashara,Sanaa na michezo mamlaka husika fikieni suluhisho local channel zionekane Kama mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…