joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE; Uchumi wa Kenya hutegemea Sana "remittances", zaidi ya $3B huingia Kenya kila mwaka. Remittances zinazidi Pato la Utalii na Pato la mauzo ya maua kwa pamoja.
Remittances toka Tanzania ndio zinazoongoza kwa Afrika, hii maana yake ni kwamba, uchumi wa Kenya unategemea Sana mahusiano mazuri ya Kenya na Tanzania, hii ndio sababu kubwa ya wakenya kumkubali Sana mama Samia kwasababu ameshikilia hatma ya uchumi wa Kenya.
Bila ya Tanzania, uchumi wa Kenya unasambaratika
Tony254
dyfre
Don YF
NairobiWalker